Nadharia ya kijinga inayowaponza wanaume wengi wa karne hii. "Kusaidiana maisha"

Hakuna mzigo mkubwa kama kuwa na mwanamke tegemezi! Ni hatari sana lazima ufikiri siku umeshindwa kufanya kazi au imekufa yeye na wanao wataishi vipi.

Mwanamke tegemezi ni mzigo
Wewe ni popoma la x-mass hujaelewa nilichoandika, nimeweka bayana awe na shughuli laki ni biashara au miradi ya familia sio kaajiriwa.
 
Sio kwamba huna pesa, hasha.

Huna character. Huna confidence. Huna natural dominance.

Ukiwa navyo hawakusumbui hata wawe na mali au mafanikio gani.
 
Huwezi kuhamasisha wote tutafute wanawake magori kipa ,hiyo haiwezi kutokea hata siku moja , nimewahi kuwa na mke ambaye ni mtumishi wa serikali ,tukatengana nikaoa gori kiper yaani ndio nimekuja kunote kuwa ndio nimebugi kabisa pamoja na kuheshimiwa lkn kila kitu anategemea kwangu yaani anawaza kuomba hela tu hapana aisee si shauri kabisa huu ujinga mwingine aufanye
 
Back
Top Bottom