Nadharia ya kijinga inayowaponza wanaume wengi wa karne hii. "Kusaidiana maisha"

..."anabishana na wanaume na avatar fake"...yamekukuta nini mkuu?



Sent from kekojuuuwanjawamchanga
 
Karma for real! Ila tujifunze mapenzi sio pesa wala pesa haizuii hisia za mwanamke wako kwenda nje ya ndoa! Mweke karibu na Mungu ili imjaze hofu kukusaliti.

Huu ujinga wa kuhusianisha kila kitu na pesa uachwe mara moja!
Tafuta Pesa Mkuu Uache Kuteseka
Vinginevyo Maji Utaita Mmaa
 
Ukimfungulia biashara hawezi kua na kiburi kua boss wake anakua ni wewe mda wowote anajua unaweza kumnyanganya ila pia lazima awe na heshima kwako ila umkute kaajiriwa sijui wapi huko ataleta jeuri tu mbna sio wewe uliemfikisha hapo kwenye kaajira
Kaajira ushuzi au siyo?
 
Hakuna mzigo mkubwa kama kuwa na mwanamke tegemezi! Ni hatari sana lazima ufikiri siku umeshindwa kufanya kazi au imekufa yeye na wanao wataishi vipi.

Mwanamke tegemezi ni mzigo
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Wanawake wote ni wabinafsi kwa asili yao hata awe na mshahara wa mbunge bado luku atataka ununue wewe, hela yake ni yake

Bora awe nashughuli! Sasa fikiria mwenye mshahara anakuwa hivi ulivyosema hadi umeme awezi nunua! Je asiye na shughuli yeyote ile si ni majanga zaidi mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Sasa ukishamfungulia biashara si tayari anakua na kazi? Au we unadhani kazi ni za kuajiriwa tu? Na hata umfungulie biashara ndogo, je ikikua? Unashangaa anaanza kuingiza pesa kuliko wewe..! We jamaa unaonekana una inferiority complex kubwa sana...
At least unaeza ukam manage kwasababu wewe ndio mwenye mamlaka makubwa kwenye hiyo biashara, hapo hofu ya ku loose hiyo ajira itasaidia kumweka kwenye mstari na kupunguza idadi ya viburi
 
Kwanza ushauri anao hubiri Liverpool VPN upewe jicho la tatu.... Kuoa sio lazima...

Pili kuacha kuwa mwanaume(provider),, au kumtreat mwanamke eti kisa unahofia asiliwe na wengine huo ni ujinga... Always Be a Man...mengine muachie yeye..

Tatu,,awe na kipato,, asiwe na kipato,, anachangia,,, hachangii... Wewe fanya unayopaswa kufanya kama mwanaume... Don't give a fuuck..

Mwisho... Wanawake ni watu wa hovyo sana... Kipindi ambacho bado user manual yao haijafahamika... Zingatia hayo
 
Ukimfungulia biashara hawezi kua na kiburi kua boss wake anakua ni wewe mda wowote anajua unaweza kumnyanganya ila pia lazima awe na heshima kwako ila umkute kaajiriwa sijui wapi huko ataleta jeuri tu mbna sio wewe uliemfikisha hapo kwenye kaajira

Hivi kweli unapoteza Mda mjini Huyu mwehu?
 
Back
Top Bottom