Nadharia ya kijinga inayowaponza wanaume wengi wa karne hii. "Kusaidiana maisha"

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
Kuna wanaume kabla ya kuoa anauliza mwanamke anafanya kazi gani, " nataka mwanamke wa kusaidiana nae maisha"

Matokeo yake mmoja akihamishwa kazi mume yuko Iringa mume yuko Mwanza watoto mako Kibondo kwa bibi, sasa hii ni familia au majanga ??!

Ukifuatilia hata humu jf nyuzi nyingi za migogoro ya familia zinaletwa na hawa mabwana "nataka mwanamke wa kusaidiana maisha" tulishawaambia wanawake wenye vijiajira wana kiburi na jeuri na ndoa hua haina umuhimu kwako kama viajira vyao hamsikii.

Japo wapo waliooa wanawake wenye viajira na wana kaamani ila ni wachache sana kama albino wa kimasai (mara ngapi umekutana na masai albino ?!,) kanuni oa mke weka ndani kama unataka ajishughujishe mfungulie biashara ya hadhi ya kati maisha yatakua muruaa, hawa wanamake wa vijiajira hata kama analipwa kalaki sita tu atajiona kama analipwa 10m lazima akuletee jeuri kisa kilaki sita chake.

Hakuna mapenzi ni mashindano ndani ya ndoa hakuna mwenye muda na mwenzie hata muda wa mapumziko mume yuko facebook mke yuke jf anabishana na wanaume na avatar fake.

Hawa wanaume washamba sana kingine wasichokijua ni kua wanawake ni wabinafsi sana. Utamuoa mwenye kaajira ushuzi ati mtasaidiana maisha ila hata cent moja yake hutaiona na siku akinunua hata mkate tu hapo nyumbani utatamani kuhama.
 
Kuna wanaume kabla ya kuoa anauliza mwanamke anafanya kazi gani, " nataka mwanamke wa kusaidiana nae maisha"

Matokeo yake mmoja akihamishwa kazi mume yuko Iringa mume yuko Mwanza watoto mako Kibondo kwa bibi, sasa hii ni familia au ujinga ??!

Ukifuatilia hata humu jf nyuzi nyingi za migogoro ya familia zinaletwa na hawa mabwana "nataka mwanamke wa kusaidiana maisha" tulishawaambia wanawake wenye vijiajira wana kiburi na jeuri na ndoa hua haina umuhimu kwako kama viajira vyao hamsikii.

Japo wapo waliooa wanawake wenye viajira na wana kaamani ila ni wachache sana kama albino wa kimasai (mara ngapi umekutana na masai albino ?!,) kanuni oa mke weka ndani kama unataka ajishughujishe mfungulie biashara ya hadhi ya kati maisha yatakua muruaa, hawa wanamake wa vijiajira hata kada analipwa kalaki sita atajiona kama analipwa 10m lazima akuletee jeuri kisa kilaki sita chake
Mwanamke akitaka kukufanyia JEURI atafanya tu. Hata kama ukimuoa hana kipato kabisa eti hatakuwa na jeuri unajidanganya.

Utakaa naye mtazaa watoto, wakishakuwa wakubwa tu na wamepata kazi na kujitegemea hapo huyo mkeo anarudi sasa kwenye DEFAULT stage. Utaisoma namba balaa.

Na kama ulikuwa na kazi umestaafu, ndio utajua hujui. Mama na watoto wao LAO MOJA wewe unabaki kutaabika.

Unatakiwa kuoa beyond mwanamke kuwa na kazi au kuwa Jobless.

Mwanamke asipokufanyia jeuri kwasababu hana kipato atakuja kukufanyia jeuri siku watoto wakishaanza kupata kipato na kujitegemea.
 
kanuni oa mke weka ndani kama unataka ajishughujishe mfungulie biashara ya hadhi ya kati
Sasa ukishamfungulia biashara si tayari anakua na kazi? Au we unadhani kazi ni za kuajiriwa tu? Na hata umfungulie biashara ndogo, je ikikua? Unashangaa anaanza kuingiza pesa kuliko wewe..! We jamaa unaonekana una inferiority complex kubwa sana...
 
Ukimfungulia biashara hawezi kua na kiburi kua boss wake anakua ni wewe mda wowote anajua unaweza kumnyanganya ila pia lazima awe na heshima kwako ila umkute kaajiriwa sijui wapi huko ataleta jeuri tu mbna sio wewe uliemfikisha hapo kwenye kaajira
 
Hujawajua vizuri hawa viumbe.
 
Kuna wanaume kabla ya kuoa anauliza mwanamke anafanya kazi gani, " nataka mwanamke wa kusaidiana nae maisha"

Matokeo yake mmoja akihamishwa kazi mume yuko Iringa mume yuko Mwanza watoto mako Kibondo kwa bibi, sasa hii ni familia au majanga ??!

Ukifuatilia hata humu jf nyuzi nyingi za migogoro ya familia zinaletwa na hawa mabwana "nataka mwanamke wa kusaidiana maisha" tulishawaambia wanawake wenye vijiajira wana kiburi na jeuri na ndoa hua haina umuhimu kwako kama viajira vyao hamsikii.

Japo wapo waliooa wanawake wenye viajira na wana kaamani ila ni wachache sana kama albino wa kimasai (mara ngapi umekutana na masai albino ?!,) kanuni oa mke weka ndani kama unataka ajishughujishe mfungulie biashara ya hadhi ya kati maisha yatakua muruaa, hawa wanamake wa vijiajira hata kama analipwa kalaki sita tu atajiona kama analipwa 10m lazima akuletee jeuri kisa kilaki sita chake.

Hakuna mapenzi ni mashindano ndani ya ndoa hakuna mwenye muda na mwenzie hata muda wa mapumziko mume yuko facebook mke yuke jf anabishana na wanaume na avatar fake.
Upo sahihi kabisa

Mwanaume ale kwa Jasho na Mwanamke azae kwa Uchungu, Jukumu la Mwanaume ni kumhudumia mkewe Kwa Kila kitu kadiri ya Uwezo wake Tena bila excuse yan

ila Wasubiri waje hapa wanaume Legelege wanaotaka kulishwa na wanawake zao au wanaotaka eti "Kusaidiana Maisha"

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke akitaka kukufanyia JEURI atafanya tu. Hata kama ukimuoa hana kipato kabisa eti hatakuwa na jeuri unajidanganya.

Utakaa naye mtazaa watoto, wakishakuwa wakubwa tu na wamepata kazi na kujitegemea hapo huyo mkeo anarudi sasa kwenye DEFAULT stage. Utaisoma namba balaa.

Na kama ulikuwa na kazi umestaafu, ndio utajua hujui. Mama na watoto wao LAO MOJA wewe unabaki kutaabika.

Unatakiwa kuoa beyond mwanamke kuwa na kazi au kuwa Jobless.

Mwanamke asipokufanyia jeuri kwasababu hana kipato atakuja kukufanyia jeuri siku watoto wakishaanza kupata kipato na kujitegemea.
Sasa hao watoto wawe pamoja na Mama yao basi Jua wewe Umefeli pia, Maana Anachomaanisha jamaa hapa ni kwamba Wewe kama Mwanaume unapaswa Ku provide kwa Mkeo na si Vinginevyo yaani Mkeo si wajibu wake Kubeba majukumu yako yeye abaki na Wajibu wake Kama Mke na Kuangalia mambo yote ya Familia Nyumbani bas

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Ukimfungulia biashara hawezi kua na kiburi kua boss wake anakua ni wewe mda wowote anajua unaweza kumnyanganya ila pia lazima awe na heshima kwako ila umkute kaajiriwa sijui wapi huko ataleta jeuri tu mbna sio wewe uliemfikisha hapo kwenye kaajira
Utasikia kwahio babaangu alinisomesha ili nije kukupikia na kukufulia tu😅 hapo jua kimeumanaaa
 
Kuna wanaume kabla ya kuoa anauliza mwanamke anafanya kazi gani, " nataka mwanamke wa kusaidiana nae maisha"

Matokeo yake mmoja akihamishwa kazi mume yuko Iringa mume yuko Mwanza watoto mako Kibondo kwa bibi, sasa hii ni familia au majanga ??!

Ukifuatilia hata humu jf nyuzi nyingi za migogoro ya familia zinaletwa na hawa mabwana "nataka mwanamke wa kusaidiana maisha" tulishawaambia wanawake wenye vijiajira wana kiburi na jeuri na ndoa hua haina umuhimu kwako kama viajira vyao hamsikii.

Japo wapo waliooa wanawake wenye viajira na wana kaamani ila ni wachache sana kama albino wa kimasai (mara ngapi umekutana na masai albino ?!,) kanuni oa mke weka ndani kama unataka ajishughujishe mfungulie biashara ya hadhi ya kati maisha yatakua muruaa, hawa wanamake wa vijiajira hata kama analipwa kalaki sita tu atajiona kama analipwa 10m lazima akuletee jeuri kisa kilaki sita chake.

Hakuna mapenzi ni mashindano ndani ya ndoa hakuna mwenye muda na mwenzie hata muda wa mapumziko mume yuko facebook mke yuke jf anabishana na wanaume na avatar fake.
Kila mtu ashinde mechi zake mkuu, binafsi mwanamke ambaye hela yake haiwezi hata kununua luku ya umeme mpaka ninunue mimi hata kama niko mbali huyo siwezi dumu nae!

Mwananke wa kiwango kikubwa cha ubinafsi hafai.
 
Wanawake wote ni wabinafsi kwa asili yao hata awe na mshahara wa mbunge bado luku atataka ununue wewe, hela yake ni yake
 
Back
Top Bottom