mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 483
- 294
Najaribu kuwaza na nikimwangalia chadema hivi Nani atakuwa rahisi na wao wakridhika na je wao wakiishika hii nchi tutafika wapi?
Mbona chama Chao kina ukata lkn hawajiwezi,mbona sio wanademokrasia Kama jina la chama chao? Upinzan kwa ujumla Tz wanaota au wanafanya nadharia ambayo haipo? Nilkuwa nataman niwaone siku moja madarakan tuishi Kama ulaya yaan huduma kibao za kijamii,
Ila Nan atawaamini ili wapewe nchi kwa tabia zao za kuganda ktk madaraka miaka nenda Rudi Kama mwenyekiti wao?
Chadema au upinzani Tz mnakwama wapi?