Nadharia 4 kuhusu kisa cha Mdude na dawa za kulevya

Hata mmtetee jiwe kiasi gani ni haki yake kabisa kutukanwa,kupigwa,hata kutoswa baharini amezwe na chatu kama saanane!!Kwani yeye hatesi,haui,hatukani???kumbukeni tetemeko la kagera aliwaambiaje wana kagera??hata ukimwi umefanyaje????Mi nawaambia ALAANIWE YEYOTE ANAEMSIFU JIWE NA UTAWALA WAKE!HATA KAMA KITENGO CHA KIJASUSI NDIO KINAMTUMA AFANYE HAYA!!!!!
 
Mleta uzi nimekuelewa sana

Mambo yafuatayo yanaweza yakapelekea mtu ukaingia kwenye misukosuko na serikali

1. Kukosoa bila staha, unaweka mitusi humo, kejeli humo, uongo humo, huwezi vumilika
2. Unaposhauri upumbavu. kutwa wewe unashauri mambo ambayo kwa mjinga anaweza kuona unaongea points, lakini kumbe ni ushauri uliojaa hila na nia ovu
3. Kuchunguza siri za serikali, unajua kuna kipengele viongozi wa umma huwa wanaapa kuwa hawatatoa siri za serikali, maana yake watafanya juu chini siri isitoke, sasa unapobainika kuchunguza kwa nia ya kutoa siri za serikali, iwe kwenye gazeti, tv, redioni, mtandaoni na kwa mtu fulani unajitafutia tabu nzito nzito

Wanaharakati wa mtandaoni wote, asilimia kubwa wanapokosoa wanadondokea kwenye kipengele namba moja, wasipo badilika wataisha, hawawezi bora wachague kuwa invisible kama kigogo. Ila wanapochagua kuikosoa serikali na kupata popularity, wataisha aisee.
Kweli, tumewachagua wabunge wakafanyekazi ya kuisimamia serikali na kuikosoa, sio kila mtu aikosoe, honi nyingi zilisababisha mbwa akagongwa
 
Ni vigumu kubadili misimamo ya Mdude ktk kile anachoamini.
Ni mwanaharakati haswaa asiyeyumbishwa kwa lolote. Atateswa lakini siku akitoka atabaki kuwa mdude yule yule tunayemfahamu.

In short tunampenda hata sasa tupo tayari kuchangia chochote kuhusu mdude maana anateseka kwa ajili ya sisi sote.

Ipo siku wanaomtesa watakufa na watazikwa na makaburi yao haya talindwa.

#Freemdudechadema
 
Ishii! Kwani bado wanaye tu tangia siku zile wamemnfang'ang'ania?
 
Back
Top Bottom