Nadhani teknolojia imetujia wakati hatupo tayari kuitumia

Magehema

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
428
27
Hivi ina maana gani taa za barabarani zinawaka halafu askari nae yupo anaongoza magari, zile taa maana yake nini? Nadhani hii technology imewahi kutujia

Hivi ina maana gani, mtu anamiliki simu halafu simu yenyewe kila ukipiga unaambiwa namba unayopiga haipatikani, sijui kaizima, sijui haina chaji lol! Nahisi simu zimetujia mapema.

Hivi ina maana gani ...... endelea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom