Nadhani ni wakati muafaka kwa Rais Magufuli kuanza kufikiria safari kama hizi

Kila kitu kwa kiasi ni muhimu. Huyu wa kwetu, sasa amrkuwa ni kituko cha Dunia.

Angekuwa anachangamana na wengine huenda angeongeza ufahamu wake kuliko kumtegemea huyu swahiba wa Rwanda.
 
Kwasasa bado sana.....bado hajatembelea mikoa ya nyanda za juu kusini.... akimaliza huku ata anza kampeni nchi nzima
Mikutano kama ya UN na mingine duniani ni muhimu sana kwa Rais wetu......Mimi mwenyewe pamoja na kazi yangu lakini nafakiwa kutoka mara moja moja nje ya nchi kwa ajili ya conference nimejifunza mengi sana na yananisaidia kubadili namna ya kufanya kazi kwa kiwango cha juu zaidi.
 
Mjomba ndio hataki sasa......
 
Back
Top Bottom