Nousernameleft
New Member
- Sep 2, 2010
- 3
- 1
Jamani,
Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.
Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?