Nimeona niongee tuu ninacho kiona mie , kama sioni vizuri niko tayari kufundishwa.
Makampuni ambayo yanafanya vizuri kweny Soko la Hisa (DSE) miaka yote ni Sigara na Beer na hii naamanisha kuanzia kupanda kwa Hisa zake pamoja na ugawaji wa dividends kwa wamiliki wa Hisa. Sisemi hazishukagi lakini ata zikishuka zinakuwaga na maelezo yanayoeleweka.
Wengine huwelewi ata kwa nini walikusanya hela (IPO) kutoka kwa watu kwa ajili ya kuongea mtaji hela.
Bila kutaja kampuni, inakuwaje kampuni ina offer IPO shilingi 500 alafu miaka inaenda kama 4 ama 5 share zake hazijapanda ata kidogo na badala yake zinakuwa chini ata ya IPO shillingi 400 ( huu ni mfano tuu), Na ukiangalia kampuni yenyewe haina viashiria vyovyote vinavyoonyesha kupata hasara ama kutokupanuka kwa wigo wa njia za kupata faida. na matumizi yake ya ndani ya kiendelea kuwa makubwa ( mishahara, kununua magari mapya ya oparation, kutumia hela nyingi kwenye matangazo).
Je! ili ni sawa kwa share kutokupanda ama kuna kitu kingine wanaficha , maanake wamiliki wa Hisa wakisema wauze Hisa zao sasa inaamaanisha kampuni itakuwa imetengeza shilingi 100 ya bure kwa kila Hisa ( ni mfano tuu - Je sio huwizi??)0.
Chombo gani kianagalia ama kufuatilia muenendo wa makampuni yaliyoko kwenye Soko la Hisa ili kujibu maswali yafuatayo ( Je kwanini Hisa hazipandi, ? Je, kwanini hamna dividends? Je, kiasi kinachotolewa ni sahihi?)