Nadesign na kuandaa BoQ miradi ya maji na umwagiliaji , malipo baada ni baada ya kazi

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Habari wakuu.


Mm ni mhandisi (mtaalam) wa planning na design kwa ajili ya miradi ya umwagiliaji hasa mifereji , drip na sprinkler systems kwa bei sawa na bure , na ni baada ya kazi.

Naandaa project layout , design , engineers estimates (BoQs) , Tendering documents , operation methodologies na kusimamia ujenzi au Installation mwanzo mwisho.


Kwa mawasiliano niPM au weka hapa unachokihitaji.

Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom