NACTE yavifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi ( NACTE ) limevifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali.

Kikubwa tuwe makini na vyuo vya uchochoroni maana sasa hivi ni rungu tuu. Orodha kamili ya vyuo, hii hapa;

nacte1.jpg

nacte2.jpg
 
Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi ( NACTE ) limevifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali.

Sijaipata list kamili ya vyuo vilivyofungiwa, punde nikiipata nitaiweka hapa. Kikubwa tuwe makini maana sasa hivi ni rungu tuu
Source ya habar yako????
 
Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi ( NACTE ) limevifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali.

Sijaipata list kamili ya vyuo vilivyofungiwa, punde nikiipata nitaiweka hapa. Kikubwa tuwe makini maana sasa hivi ni rungu tuu
Ebu tusaidie kujua lini itafanyika selection ya form five kwa form waliomaliza 2017?
 
Hiyo sio kazi ya NACTE mkuu, chukua muda wako kutembelea tovuti ya NECTA na TAMISEMI utapata majibu pindi hizo chaguzi zitokapo.
 
Toka lini NECTA wakajihusisha na chaguzi za F5?
Kuna utofauti kati ya chaguzi,na kupitia kwenye tovuti. Haimaanishi lazma wao wachague,ndio maana nikaiweka TAMISEMI kwa lugha nyepesi huwa wanashirikiana.
 
Back
Top Bottom