NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

application inaendlea kam kawawida kwa level hiyo y certificate na diploma kwa courses zote na deadline ni tar05.august,
 
Dah yani mkuu mimi nilisha apply na kwenye profile wameandika system is running for selection sjui nin waiting na blah blah nyingi ....dah! apa presha inapanda na kushukaa. Nilienda nacte wakasema kama ulisha lipia watacheki kama una vigezo vyao then unakuwa directed moja kwa moja tcu ..ila kama vgezo hujafikia basi wanacheki kama watakurudishia pesa yako
Mkuu usichoke kusubiri Coz wao wenyewe wameligusia hilo:-

"Kwa waombaji wa Shahada ya Kwanza waliowasilisha maombi yao kupitia NACTE, Baraza linapenda kuwaarifu kuwa, mashauriano kati ya NACTE na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanaendelea kufanyika ili kufanikisha udahili wa waombaji wa kozi za Shahada ya Kwanza kama Serikali ilivyoagiza".
 
application inaendlea kam kawawida kwa level hiyo y certificate na diploma kwa courses zote na deadline ni tar05.august,

Sasa utajuaje chuo chenye nafasi bado. Nauliza hii waliochaguliwa form five wamejumuishwa kuchaguliwa Nacte
 
Jamani nisaidieni kwaiyo application za certificate na diploma bado zinaendelea na mtu mwenyewe CCCDFFF kwa form 4 afu DSF kwa form 6 anaweza kuchaguliwa kusoma diploma ya uwalimu
 
Et wakubwa nacte wameshaanza kupokea maombi tena ya awamu ya pili kwa diploma na certificate
 
pa
Jamani nisaidieni kwaiyo application za certificate na diploma bado zinaendelea na mtu mwenyewe CCCDFFF kwa form 4 afu DSF kwa form 6 anaweza kuchaguliwa kusoma diploma ya uwalimu
pale si wameorodhesha sifa za ku appy coz husika kijans
 
Back
Top Bottom