NACTE wamemwandikia hivi binti yangu, maana yake nini amekoswa selection?

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
Kwenye profile yake kozi moja wamemwandikia eligible, wait for next selection maana yake nini? Asubiri uhakika upo wa kuchaguliwa au wakitoa second round aaply tena?

Naomba kufahamishwa
 
Aseeee nacte nimewashangaaa yaan Nina 18 wamenitosa wamechukua MTU wa 20
 
Aseeee nacte nimewashangaaa yaan Nina 18 wamenitosa wamechukua MTU wa 20
Mkuu kwani wametoa majina kwa walioomba kozi za afya 2017/18 . Tafadhali kama in hivyo naomba link maana natafuta sijaona!!!
 
Et kwa wale wa vyuo vya ualimu waliokosa kuna round nyingine ya kuomba tena au ndo mpaka mwakani?
 
Back
Top Bottom