NACTE wababaishaji

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Kozi ya diploma in Journalism at London School Journalism (LSJ) through distance learning programme takes 2 years. Nimetumia miezi 9 kumaliza. NACTE wanasita kusajili cheti! Kuna logic? Unahija kufaulu form 4 tu kujiunga na LSJ. Je kuna tatizo? Tafadhali naomba ufafanuzi maana nacte longolongo kibao!
 
nijuavyo ungecheki na chuo chako kama kinatambulikana na NACTE. pili hakikisha Diploma yako ina ufaulu wa Lower Second na kwenda juu, credit, gpa above 3.5 ndipo uwasake hawa NACTE kwa udi na uvumba. nadhani ni hivyo - wanajamvi watakuwa na uelewa pia
 
Asante Makah. Nili dedicate all my time nikisoma ndo maana nikamaliza kwa miezi 9. Mwalimu wangu Ken Ashton, akapendekeza nipewe 'diploma with distinction'
 
ok. basi wasiliana nao kama chuo chako kiko katika orodha ya vyuo wanavyovitambua. Tatizo hawa watu ni wagumu sana kuwapata kwa simu - but keep on trying - kila la heri.
 
itabidi upeleke na curriculum ya chuo chako hii itawasaidia pia na chengine huwa wanataka rushwa ndo wakupe ngazi fulani..
 
Back
Top Bottom