NACTE : Udahili na uchaguzi 2017/18 wa Astashahada na Stashahada utafanyika moja kwa moja vyuoni

Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
 
Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
Huwaga wanatoa katika guidebooks lakini guidebook ya mwaka wa masomo 2017/2018 haijatoka bado hadi leo hii
 
Pakua guide book mkuu vyote vipo mle
Ulishaingia kwenye tovuti ya NACTE ukaviona? mbona bado
Screenshot_20170516-113830.png
 
Guide books vitakuwepo kwa afya na ualimu tu kwa wale wanaotaka vyuo vya serikali vilivyo chini ya NACTE vinginevyo tafuta mwenyewe kutoka vyuoni moja kwa moja. Hii ni "faida" moja wapo ya kuomba chuo moja kwa moja.
 
MBNA system yake imefungwa naomben kuelekezwa jinsi ya Ku apply koz za afya maana kupitia hiyo website yao wana sema system closed
 
Du naofia kuomba alafu nisubiri mpaka selection zitoke alafu mzee abadili maamuzi maana mpaka selection za vyuo zije zitoke alafu ukute sijachaguliwa. Da adi nashindwa kumuelezea mzee ivi INA maana hawawezi kutoa selection za chuo kwa awamu kabla ya advance selection kutoka?
 
Ipo wazi lkn soma guidebook kwanza ujipime usike ukaanza application kumbe huna vigezo. Huu utaratibu nimeupenda kwa kweli
 
Guide Book yenyewe ni ya Afya tu,Ualimu hawajaitoa bado!

Ni kweli ya uwalimu bado haipo wizara yenye mamlaka inaonyesha hawajatoa hivyo vigezo kama walivyo sema kwenye waraka namba tano wa wa 2016 kuhusu ualimu. Miwe na subira.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom