Gwakisa George
Member
- May 26, 2013
- 67
- 14
Nauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwaga wanatoa katika guidebooks lakini guidebook ya mwaka wa masomo 2017/2018 haijatoka bado hadi leo hiiNauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
Nmempigia jamaa yangu apo MUHAS anadai usiku wa manane satisa aliaplyMkuu tumekesha wote asee
Me kila baada ya dk 5 naangalia may be wamefungu but hakuna kitu
Yeah mkuu ipo hivoKwa msingi wa tangazo hili kama nimeamua kuomba kozi ya Udaktari kwenye chuo ambacho si cha serikali pia ntaweza kuomba kwenye chuo husika moja kwa moja???
Pakua guide book mkuu vyote vipo mleNauliza katika kuaaply huwa wanatoa vigezo vya ufauru katika kuaaply, vipi lmwaka huu sivioni, na kama vipo tafadhari naomba mwenye navo anipm nimpe namba yangu anirushie hata watsup
Pakua guide book mkuu vyote vipo mle[/Q
Itatumika ya 16/17 au kuna aliye ns ya 17/18
Weka linkPakua guide book mkuu vyote vipo mle
Ulishaingia kwenye tovuti ya NACTE ukaviona? mbona badoPakua guide book mkuu vyote vipo mle
Yes bado mkuu system ipo closed ila nlimaanisha vgezo vyote vinapatkana kwenye guide book so tusubir tu no wayUlishaingia kwenye tovuti ya NACTE ukaviona? mbona badoView attachment 509996
Guide Book yenyewe ni ya Afya tu,Ualimu hawajaitoa bado!Ipo wazi lkn soma guidebook kwanza ujipime usike ukaanza application kumbe huna vigezo. Huu utaratibu nimeupenda kwa kweli
Guide Book yenyewe ni ya Afya tu,Ualimu hawajaitoa bado!