NACTE : Udahili na uchaguzi 2017/18 wa Astashahada na Stashahada utafanyika moja kwa moja vyuoni

Naomben mnisaidien jmn nina pass ya mathe, bios chemia, engl
Je nitapt chuo cha nursing
Hupati
Saizi ni mpk uwe na c kwa masomo ya bios na chemistry na angalau D ya phys plus mathematics together with English
Hizo sifa ni kwa coz zote za afya ngazi ya stashahada
 
Naomba kuuliza sifa za kujiunga na chuo cha misitu olmotonyi arusha ni zipi
Khaa kun ndugu yang kaaply na two 18 akatemwa na vigezo vyote anavyo soo kama unatak kuaaply apo jipange vigez uwe na d nne thyuu ya geo english mats na d nyingine moj kat ya izi
.... chemi bios au phi
 
Back
Top Bottom