NACTE tunaomba ratiba ya mitihani ya marudio ya Maafisa tabibu

bashara

Member
Feb 7, 2017
38
14
Mara nyingi mitihani ya vyuo vya afya kwa ngazi zote huendeshwa na NACTE. mwaka jana mwezi wa nane tulifanya mitihani hiyo na hatimaye matokeo yakatoka mwezi wa pili na baada ya hapo kuna waliopass mitihani hiyo na wengine wamesuppliment.

Sasa tumepewa habari kuwa mitihani hiyo itafanyika tarehe 27 feb 2017 chakushangaza mpaka dakika hii hatuna ratiba ya mitihani hiyo ya marudio,

Kwahiyo NACTE tunaomba ratiba ya mitihani hiyo.
 
mwanafunzi akiona ratiba ndo anajua kuwa sasa anafanya mitihani. we soma tu jiandae kwa mitihani yako. mungu awajalie mfaulu
 
Back
Top Bottom