NACTE toeni majibu ya semester II examinations -2020

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,174
73,616
Ni mateso matupu kwa wanafunzi na wazazi mpaka sasa mwanafunzi hajui kama aanze safari kutoka kwao kuja chuoni wakati vyuo vinafunguliwa jtatu 16/11/2020.

Mwanafunzi hawezi kutoka say Sumbawanga kuja Mwanza chuoni wakati hajapata matokeo yake ya mtihani kujua kama anaingia mwaka unaofuata au ana supp!

CEO wa NACTE unafail wapi? Unafanya nini ofisini?
 
tayari washayatoa mkuu
 
Nadhani kuna tatizo mahali fulani hapo NACTE.
Hili baraza linapaswa kuchunguzwa kwa mambo mengi.

1. Uendeshaji wa kibabaishaji kwenye vyuo
Mfano vyuo kutapeli wazazi kwa malipo yasiyo rasmi.Unayakuta chuoni tu wakati mwingine yanapokelewa bila risiti.
Pia malipo ya NHIF na wakati hawatoi kadi za matibabu au wanatoa kwa watu wachache tu.

2. Baadhi ya vyuo kuwa na wanafunzi wengi kuliko uwezo wa miundombinu iliyopo.Hakuna anayejali bora wakusanye pesa tu!

3. Vyuo binafsi kutokuwa na bodi na hivyo mmiliki kuamua chochote anachojisikia bila kujali hata kama taaluma itaathirika.Mfano kukusanya pesa za field halafu wanafunzi hawaendi field au wabaenda siku chache tu.

4. Vyuo kutokuwa na walimu wa kutosha na bado vinaendelea kudahili wanafunzi wengi
 
Nakubaliana na wewe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom