R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,345 73,923 Nov 12, 2020 #1 Vijana hawajui fate yao na vyuo vinafuguliwa 16/11/2020. Huwezi kufanya lolote bila matokeo ya mitihani, tatizo liko wapi? CEO wa NACTE unafeli wapi?
Vijana hawajui fate yao na vyuo vinafuguliwa 16/11/2020. Huwezi kufanya lolote bila matokeo ya mitihani, tatizo liko wapi? CEO wa NACTE unafeli wapi?
Fernando Jr JF-Expert Member Jul 12, 2017 3,219 4,797 Nov 12, 2020 #2 Ni kweli. Dogo yupo tu nyumbani hatujui tufanye lipi! Hawajui maisha ya bongo ni kuganga njaa