NACTE toeni majibu ya mitihani ya mwisho ya Semester ya Pili

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,978
Vyuo vinafunguliwa 16.11.2020, bado mwanachuo hajui fate take kama aje chuoni au ana supplementary na hivyo kutakiwa kubaki nyumbani.

Nadhani mamlaka zinaona usumbufu/inconvenience mnazozisabanisha Kwa watoto na wazazi.
 
Acha tu , sijui nnini kimetokea? Sijui watu walizama kwenye uchaguzi wakasahau majukumu yao.
 
Vijana mtulie na kuache vihere here matokeo NACTE ndio ina mamlaka ya kutangaza rasmi kwa iyo wanajua wanachokifanya.
 
Back
Top Bottom