Baada ya kukaa jilani na hivi vyuo vya nacte, vya kati hususani hivi vya afya vinavyo toa kozi za nursing famasi clinical nk, wanafu zi wanao jiunga na hivi vyuo ni wale walio maliza f4 na kupata angalau D4 kwa masomo husika wengi wao ni wasichana japo na wavulana wapo umri wao ni kati ya miaka 16 hadi 20 ambao bado (ni foolish age) hivi vyuo viko chini ya nacte ambao wenyewe wana wa treat hao watoto kama watu wazima na wana jifanyia maamuzi kuhusu uhamisho kutoka chuo moja kuenda kingine. kuhusu ni dhamu hawafatiliwi wa kiwa vyuoni wana uhuru wakuhudhuria au kutoudhuria masomo na wamikiki wa vyuo mda wao ni kufuatilia ulipaji wa ada yao tu mengine wanaachia nacte na wizara hao wanafunzi wana chukuliwa kama undergraduates wa vyuo vikuu (universities) wakati sio sahihi bado wana hitaji miongozo kwenye maisha.
Ni nacho shuhudia ni hiki hapa hao watoto wengi wana toka mikoani na wengine pembeni pembeni mwa jiji au majiji hawajazoea uhuru ulio pitiliza wana limbukeni, na ushamba, wengi ni watoto wa wakulima au watumishi wenye kipato cha kawaida. Wa kiripoti vyuoni huingia hostel na baada ya mwezi kuhama hostel na kuanzisha magheto, bila hata wazazi wao kujua, na wazazi wengi wa Tanzania sio wa fuatiliaji wa elimu ya wanao,
Wasichana wengi wame olewa na bodaboda wengine na vijana wa mitaani wengine wenyewe kwa wenyewe, mtoto kumaliza bila mimba ni nadra sana, kwanza, na nacte haina sheria za kuwazuia au kuwalinda kama wale wa secondary au wa vyuo vya ualimu, kesi mitaani za kuchukuliwa na waumme wa watu ni nyingi sana na hivyo vitoto, kinacho uma zaidi wengi hawana elimu ya magonjwa ya ngono kama ukimwi nk,
Matokeo ya hayo yote ni wengi wana disco baada ya kufaili mtihani wa wizara ya afya jiulize kwanini zaidi ya robo tatu ya wanafunzi wa vyuo vya afya hufaili? kwa mufuano hapa chuo jilani kwa wanafunzi 280 walio fanya mtihani wa taifa wa wizara ya afya ni wanafunzi 23 tu ndo wamefauli bila retake au disco wengi wamerudia wengine ndo basi.
NACTE badilikeni msiwe mnapenda pesa tu za hao wanafunzi za application na registration wekeni regulation kutunza discipline nidhamu kwa hao wanafunzi bado ni wa dogo(16- 20yrs) ni vulnerable kua manipulated na wanaumme wamitaani pamoja na tutors wao.