NACTE ni jipu,litumbuliwe

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,216
3,862
Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani wanasahihisha mitihani ya darasa moja tu mwezi mzima na hawajamaliza.

Hivi ilitokea mtoto amefeli,kuna haja gani ya usumbufu wa kusafiri kwenda chuoni wakati mtu hajui matokeo?
Au ni njama zenu tukawalipie ada watoto kisha mtuambie wamefeli?

Kusema kweli mtendaji mkuu NACTE ameshindwa kazi.
Hapa nimesema machache tu lakini kuna uozo mwingi sana kwa watendaji wa NACTE.Wanafanya kazi kama ya bibi zao.
 
Siku hizi hakuna tena utumbuaji wamajipu wanaokosea wanasahihishwa nafikiri ni mara tatu kwa hiyo tulia tu
 
Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani wanasahihisha mitihani ya darasa moja tu mwezi mzima na hawajamaliza.

Hivi ilitokea mtoto amefeli,kuna haja gani ya usumbufu wa kusafiri kwenda chuoni wakati mtu hajui matokeo?
Au ni njama zenu tukawalipie ada watoto kisha mtuambie wamefeli?

Kusema kweli mtendaji mkuu NACTE ameshindwa kazi.
Hapa nimesema machache tu lakini kuna uozo mwingi sana kwa watendaji wa NACTE.Wanafanya kazi kama ya bibi zao.
Na bado limeibuka lingine kwamba watakaopata supplementary katika matokeo hayo hawatatakiwa kuendelea na mwaka badala yake wasubirie mpaka mwezi wa8 ambapo kimsingi mtu anakuwa ashapotezewa mwaka mzima tayar na haki ya kufanya mtihan wa marudio ili kuendelea ngazi inayofuata kama ilivyokawaida haitakuwepo...hii imekaaje jaman!!!!
 
Hii nimeisikia, vijana wanalalamika sana..kweli hawa NACTE wamefeli...hawana maono mazuri.
 
Alafu warudishe na ile march intake..madogo wanakaa tu maskani hapa tunakuwa na wasiwasi..bora wakasome certificate uko wawe busy
 
Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani wanasahihisha mitihani ya darasa moja tu mwezi mzima na hawajamaliza.

Hivi ilitokea mtoto amefeli,kuna haja gani ya usumbufu wa kusafiri kwenda chuoni wakati mtu hajui matokeo?
Au ni njama zenu tukawalipie ada watoto kisha mtuambie wamefeli?

Kusema kweli mtendaji mkuu NACTE ameshindwa kazi.
Hapa nimesema machache tu lakini kuna uozo mwingi sana kwa watendaji wa NACTE.Wanafanya kazi kama ya bibi zao.
Nacte wanasahihisha mtihani gani?
Wizara ya afya ndio inayohusika na marking, Nacte wanatangaza matokeo. Nacte wanaratibu ratiba zote.
Nacte kukutangazia urejee masomoni kwakuwa kimsingi ratiba iko nyuma kutokana na wizi mlioufanya ninyi wanafunzi mkishirikiana na wizara ya afya.
 
Hiyo kozi kwa sasa miyeyusho,ila bado people zinang'ang'ania
 
Huu ni ujinga.
Mwanafunzi anajua mnatunza wapi mitihani?
Kuna sehemu ilivunjwa mitihani ikaibwa?Nani yuko polisi kwa wizi huo?
Mheshimiwa Gwajima aliahidi atasema kila kitu,lakini baada ya uchunguzi wote mkakaa kimya!
Mnasababisha mitihani inavuja na kuwafikia wanafunzi kabla ya wakati huku mkifanya biashara halafu leo unawashushia jumba bovu wanafunzi?
Nacte wanasahihisha mtihani gani?
Wizara ya afya ndio inayohusika na marking, Nacte wanatangaza matokeo. Nacte wanaratibu ratiba zote.
Nacte kukutangazia urejee masomoni kwakuwa kimsingi ratiba iko nyuma kutokana na wizi mlioufanya ninyi wanafunzi mkishirikiana na wizara ya afya.
 
wengine wameandikiwa hawajafanya kabisa mtihani na wamefanya
Duuh sasa kama mtu kafanya mtihani kabisa na attendance kasign alafu anaandikiwa hajafanya...je tuna uhakuka gan kwamba hata hizi grade zinazojazwa kwny matokeo baada ya marking ziko accurate!!? Sababu huu ni uzembe wa wazi kabisa
 
Huu ni ujinga.
Mwanafunzi anajua mnatunza wapi mitihani?
Kuna sehemu ilivunjwa mitihani ikaibwa?Nani yuko polisi kwa wizi huo?
Mheshimiwa Gwajima aliahidi atasema kila kitu,lakini baada ya uchunguzi wote mkakaa kimya!
Mnasababisha mitihani inavuja na kuwafikia wanafunzi kabla ya wakati huku mkifanya biashara halafu leo unawashushia jumba bovu wanafunzi?
Watoto wa masikini ndio wanaoumia zaidi.
mtoto anasomeshwa kwa tabu kisha wanaleta haya mambo.Very sad
 
Jana wametoa tangazo wanachuo wote waliofanya mtihani mwezi Disemba warudi chuoni kuanza masomo tarehe 31 Januari 2022.
Cha ajabu hawajatoa matokeo hadi leo ijumaa tarehe 28 Januari.
Unaweza kujiuliza ni jinsi gani wanasahihisha mitihani ya darasa moja tu mwezi mzima na hawajamaliza.

Hivi ilitokea mtoto amefeli,kuna haja gani ya usumbufu wa kusafiri kwenda chuoni wakati mtu hajui matokeo?
Au ni njama zenu tukawalipie ada watoto kisha mtuambie wamefeli?

Kusema kweli mtendaji mkuu NACTE ameshindwa kazi.
Hapa nimesema machache tu lakini kuna uozo mwingi sana kwa watendaji wa NACTE.Wanafanya kazi kama ya bibi zao.
NACTE haipo ilishabadishwa jina.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom