Nacte na Wizara ya afya hivi course ya nursing mnaichukuliaje jamani ?

Makini Sana

Member
Aug 2, 2019
28
45
Wakuu

Nina mambo mawili ambayo ninaongea na Nacte pamoja na wizara ya afya kwa kuhusiana na course ya nursing&midwifery

1..Kwa upande wa diploma ilibidi tufanye mtihani tarh 26 augst ila nyie mmeharisha mpaka tarehe 2 sept

2..Viongozi wakuu wa hii course mnachoamua ndo hicho mnaifanya hii course kuonekana haina maana kwa madudu mnauofanya mara mpandishe viwango mara mshushe


Aisee ifike muda sisi vijana tupande kule juu sio muda tena wakukaa wazee wanaiona nesi ni ya kwao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom