NACTE na TCU Fanyeni ukaguzi, vyeti feki vinatumika kuomba kujiunga Vyuo vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NACTE na TCU Fanyeni ukaguzi, vyeti feki vinatumika kuomba kujiunga Vyuo vikuu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Jun 8, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kutokana na kuzagaa kwa vyeti feki kwa wahitimu wa taaluma mbalimbali Tanzania,kuna umuhimu NACTE na TCU kufanya uhakiki kwa wote wanaoomba kujiunga vyuo vikuu na kwa wale wote ambao wameshajiunga.Hii yote ni katika kusaidia kupata wasomi waaminifu.Wana JF changieni maoni yenu.
   
 2. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  UWEZO wa NACTE na TCU unatia shaka.

  Wao ndiyo chanzo cha degree,Masters na PhD feki.
   
 3. L

  LOTH HEMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2016
  Joined: Dec 6, 2015
  Messages: 3,407
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  Moods ipandisheni thread hii iko kwenye wakati.
   
 4. jaji mfawidhi

  jaji mfawidhi JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2016
  Joined: Feb 20, 2016
  Messages: 3,441
  Likes Received: 2,559
  Trophy Points: 280
  Nacte,Necta hawajachelewa.
  Hapa chuo cha TUMAINI Dar kuna vihiyo wengi sana,kama hawa wakaguzi wakija hapa nakwambia chuo kinafutiwa usajili siju hiyo hiyo
   
 5. Mulimila dole

  Mulimila dole JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2016
  Joined: Jul 15, 2016
  Messages: 218
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 60
  Heri yangu mimi siku soma maana cheti changu jembe hata likiwa feki hakuna cha uhakiki
   
 6. k

  kwenda21 JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2016
  Joined: Mar 11, 2014
  Messages: 1,588
  Likes Received: 674
  Trophy Points: 280
  Vipi na hao wakaguzi tena, hili tatizo si kubwa kama linavyopaishwa,wale jamaa wamesema wanayo majina ya waliotengenezewa,so watapatikana
   
Loading...