NACTE mnatoa lini matokeo?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Tarehe 4 Novemba ndipo muhula unaanza na hata hivyo inasikitisha kuona kwamba hamjatoa matokeo. Na kibaya zaidi hamtoi taarifa yoyote.

Napenda kuuliza sasa ni lini mtatoa matokeo hayo?

Kuna mengi nilitaka kusema ila naomba niyatunze kwanza. Nasubiri kuona masharti magumu yatakayotoka baada ya matokeo yanayotolewa ili kulinda maslahi ya baadhi ya vyuo binafsi.
 
Tema Cheche Hapa

Kuna Mtu Kamaliza Chuo Singida Na Matokeo Yametoka Kafauru Ajabu Alipofuata Cheti Chake Chuo Anaambiwa Hakipo. Alipoonana Na Mkuu Wa Chuo Anaabiwa Aandike Barua Kuomba Cheti

Nimeshangaa Hii Kitu
 
Yametoka tayari kalipe ada usome

Hii ni kwa vyuo vya health and allied science,
 
Back
Top Bottom