Nacte mmekatisha ndoto zangu, nacte wapinga marufuku waliomaliza shule 2010 kuomba vyuo vya afya

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Nimeumia sana kuona nacte wamepiga marufuku wale waliomaliza kuanzia 2010 kurudi nyuma wasiombe vyuo vya serikali mbali waombe vyuo vya private vyeye gharama kubwa sisi watoto wa masikini tutafanyaje ? Ambao tunauwezo wa kulipia vyuo vya private mmefanya kitu ambacho siyo kitu sahihi kabisa .
00ef892db24dfef55b57542048c5ed32.jpg
 
2010 mpaka leo miaka 7

Nimeangaika kwa miaka saba nimfanikiwa kupata mil 3.5 kwa kuuza karanga na maji ,je zitanitosha kwenda private?
 
Fanya mambo mengine usilazimishe mambo mkuu mwisho wa siku ukaja jutia
 
Mkuu unatafuta nini hasa,

Unataka ukomae halaf uje uwekwe benchi kwenye hizi ajira

Fanya mambo mengine bhana
 
Back
Top Bottom