Taarifa ya kamati ya Uchunguzi iliyoundwa na Wizara imebaini kuwa chanzo cha kuvuja kwa mitihani hiyo ni kutoka kwa moja ya mtumishi wa idara ya mafunzo ambaye alituma mwongozo wa majibu (answer guides) kwa mmoja ya ndugu yake anayesoma katika moja ya Chuo cha Utabibu cha Serikali COTC), japo katika taarifa waliyoiwasilisha kwa Wizara wamebadili na kuhusisha baadhi ya Vyuo vya Serikali kama chanzo cha kuvuja kwa mitihani. Aidha imebainika kwamba takribani mitihani yote imevuja na sio hii iliyofutwa pekee.Mzee hakuna nilipokutukana..toa maoni kiistarabu ukweli utabaki hivyo hivyo hata hizo pepa kuvuja zimetoka huko huko private wao hawaangalii ubora wao ni kufaulisha na GPA za kubumba wanafunzi vilaza.
Inapatikana hapa JF ni hii hapa
Kuvuja kwa mitihani ya muhula wa pili kwa kozi za uuguzi na utabibu; tumebaini chanzo, tutafute suluhu haraka
Habari JF Mnamo tarehe 15 Oktoba 2021 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) walitangaza matokeo ya awali ( provisional results) ya mitihani ya muhula wa pili iliyofanyika mwezi Agosti , 2021. Katika taarifa...
www.jamiiforums.com
Aibu vyuo vya Serikali vya Afya!!!!