Poluyakhtov
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 356
- 297
Mnamo tarehe 10-05-2017,NACTE walitoa taarifa kwamba dirisha la udahili kwa upande wa Afya na Ualimu ngazi ya Astashahada na Stashahada litafunguliwa tarehe 15-May,lakini cha kushangaza mpaka muda huu bado halijafunguliwa.
Pia wametoa Guide book ya upande wa Afya tu lakini kwa upande wa Ualimu bado hawajafanya hivyo!
Je,baraza hili lilitoa taarifa hiyo ilhali vigezo vya udahili kwa upande wa Ualimu havijaandaliwa?
Acheni blah blah!fanyeni kazi kwa umakini!