nachukizwa na tabia ya ze comedy wa EATV ya kukopi na kupesti

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
2,770
1,360
kuna hako kajamaa kafupi kanaigiza mwanamke, yani anamwiga joti kwa kila kitu. waache ubwenyenye wabuni mitindo yao
 
kuna hako kajamaa kafupi kanaigiza mwanamke, yani anamwiga joti kwa kila kitu. waache ubwenyenye wabuni mitindo yao

Joti Nae Alimwigiza Nani Kabla Ya Yeye Kuwa Hivi Leo? Nijuavyo Huwezi Ukawa Perfect ktk Mambo Fulani au Kitu Fulani Kama Hujawa Inspired na Mtu Ambaye Kwako Unaamini ni Mentor. Hata Lionel Messi Uchezaji Wake Anamwiga Diego Armando Maradona Ila tu Inatakiwa Yule Anayeiga Basi Aboreshe Kile Ambacho Amekiiga.
 
wananiboa sana kama kuna mtu ana namba zao za simu atoe tuwaambie,kwani kuchekesha ni lazima ujifanye mwanamke, mbona wanatumia nguvu nyingi kuchekesha....wapuuuzi sana hawa
 
Jamani kla KTU kina mabaya na mazur yake hasa mkianza kuongea negative hapa bla kuwapa mzuri yao mnakosea labda niwaulize swali moja wanakopi na kupest kipindi kizima au mtu mmoja kat yao ndio kilaza ......tusipandikizane chuki hapa .. We unayesema ikianza unahama ni muongo unajua had ratba ya kpind na marudio ndo maana inakukutaga na sdhan km kwel....tuache unafki jama
 
Back
Top Bottom