Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
Kwa kawaida sipendi sana kuamliwa mambo yangu binafsi na mtu mwingine au eti kushinikizwa kufanya kitu fulani. Hata iwe umenisaidia au nimekopa kwako. Vivyo hivyo sipendi kuona Tanzania yangu inaamriwa na mataifa ya nje au kushinikizwa kufanya kitu fulani eti kwa kuwa hiyo nchi au shirika imetupa msaada au wametukopesha.
Hakuna msaada wa bure tunaopata watanzania kwa nchi hizo.Kama ni misaada imejaa masharti (conditions) magumu sana na bado wanatunyanyasa na misaada yao.Kama ndio mkopo ni balaa yani utapapaswa kila kona hadi siri za nchi utatoa. Ninachukia sana hawa wanasiasa wanaokimbilia huko mara UN hajakaa tena EU na vimashirika hivi vya kimataifa yani ni kero tu. Na wengine mara mnawatukuza na MCC yao,si watoe tu misaada yao.
Hivi hata kama umenisaidia au umenikopa ndio unishike makalio mwanaume mwenzio? wanasiasa acheni kuiuza tanzania kwa mitindo ya mikataba ya siri (iwe ya vyama au serikali).NADHANI WANANCHI WANGEKUWA WANASOMEWA MASHARTI YA HII MISAADA NA MIKOPO wangekuwa wanafahamu kuwa wanauzwa nchini mwao.PANGECHIMBIKA. Yani bora kuwa masikini jeuri kufia jangwani tu.
usiombe uione hii mikataba ya mikopo na misaada yani utachukia sana wazungu na viongozi wetu. Nimeongea nimeshusha hasira kidogo yani kwa nilivoona tu nika.......