Nachukia na sitaki kuona!

Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
4,094
4,395
Hamjambo WanaJF!
Jamani mi nina tatzo na cjui ilikuwaje nikawa hivi!
Mi mwenzenu tangu siku ya kwanza nilipoona umbile tupu la hawa wenzetu wa kike wakiwa utupu... Namaanisha nikiiona face 2 face ile ki2 yao basi km mnala ulpanda utashuka mpaka ushrink km wa bata!
Kisa, first dt nlvoona utupu wa m/mke nilipatwa kinyaaaa!
Au nyie wadume wenzangu mnawaonaje hawa viumbe?!!!
 
Heee! Wanaume wenzake hebu mjibuni.. Manake hii ni kali bt haileweshi...
 
huwatokea baadhi ya watu hiyo

ndo maana unashauriwa usitazame sana,we papasa kizani halafu endelea na zoezi...

kuna baadhi ya watu huathirika kisaikolojia wakitazama sana k ya mwanamke....

labda wewe ni mmojawapo.....

utazoea taratibu...
 
ha ha..umenifurahisha hapo kwenye vitu vinavyonuka ndio vitam...nataman nitoe mfano..baadae...anaetaka ni mPM
Haloo ile kitu tamu bhana, halafu vitu vibaya vinavyonuka, ndivyo vitamu hivyo we fuata utamu usiangalie nyuki.
 
au unahisi umeona kidonda??...ilo ni bonge la tatizo, fanya mazoezi ya kuiangalia...
 
na wewe bana!! si usubiri kwanza ukue? unatazama vitu vya wakubwa unatarajia nini? omba Mungu undelee kuona kinyaa hivyo hivyo unaweza kuwa paroko mzuri
 
au unahisi umeona kidonda??...ilo ni bonge la tatizo, fanya mazoezi ya kuiangalia...
 
Makubwa haya.....watu wanachinjana (literally!) kwa sababu ya hiyo kitu, wengine wanaona kinyaa!
 
Back
Top Bottom