Nachojionea hapa Morogoro aghkani hospital | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nachojionea hapa Morogoro aghkani hospital

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samilakadunda, Jul 19, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,701
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  huwezi amini nipo nipo hapa huspitali ya prave daktari ni mmoja anatuaga na kurudi baada ya dk 5,huweziamini wagojwa wamekimbia gev hosp kukutana na zahma hii na huku kwa tunakolipa pesa cash nako kihama,naomba kutoa rai kwa Jk yakwamba wananchi wanaopata taabu na kufariki kwa jeuri yake ipo siku atajibia kwani ndie aliyetufikisha hapa tulipo.
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si washasema liwalo na liwe? chukua hatua!
   
 3. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sawasawa ndo linalokua linakua
   
Loading...