Nachimbua kaburi: Yale Magari yaliyokuwa kwenye makontena nayo ulikuwa unawapelekea walimu wakuu?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Mwanasiasa mara zote anakuwa na sura mbili na wengine tatu au nne, anakuwa na sura moja halisi ambayo hiyo hubeba dhamira ya kuingia kwenye siasa. Sura hii huwezi kuigundua harakaharaka tu, ni mpaka utulie haswa.
Sura inayoonekana mara nyingi ni ile ya kupretend kuwa yuko kwaajili ya wananchi. Ukweli ni kwamba wanasiasa wengi wa Kiafrika akiwemo Bashite hawapo kwaajili ya wananchi bali kwaajili ya matakwa yao.
Mkuu wa mkoa unapewa stahiki zote na serikali halafu unatumia nafasi yako kujinufaisha. Hufai, tubu, tubu.
Eti viti kwaajili ya walimu, sasa na yale magari nayo yalikuwa ya walimu wakuu?
 
ushachelewa wenzako wameshazika na matanga wameinua.,,na mirathi tayari imegaiwa,,
ingawa mtoto pekee wa marehemu alikuwa analalamika na kutoa machozi kwamba mirathi aliachiwe yeye ila ndugu wa marehemu wamekataa kumpa hata thumni...amewalaani.,,
 
Back
Top Bottom