Nabii tito... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabii tito...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Mar 24, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna mtu anazunguka hapa dar...najua wengi mnamfahamu toka kitambo(so usitambe humu)
  alinikuta pale kwa mama kamche jioni moja...anauza vijarida ambavyo vinasifia uzinzi na unywaji pombe!...akasimama mbele ya meza niliyokaa akawa anani ENCORAGE kua ninachofanya ni sawa sana!..

  nasikia anahamasisha mpaka kutembea na mke wa mtu!...hapa ndio nikachoka.
  waungwana mna lipi juu ya hili?
  na yapi mengine umeyasikia toka kwa NABII TITO?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,022
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  bado yupo? Mara mwisho nilimuona posta na bango lake.

  Inawezekana fuse moja kichwani mwake ipo loose,mambo anayoyatetea yapo kinyume kbs!
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  na pipo zinampenda kwakua anatetea uasi!..
   
 4. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nabii tito wa kichina
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,610
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Huyo Lazima ana mapepo makubwa mno!!!!!
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,724
  Likes Received: 1,232
  Trophy Points: 280
  Hana mapepo_sema amechanganyikiwa tu,....ahahahahahahaaaaaaaa
   
Loading...