Nabii TITO kuanzisha kanisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabii TITO kuanzisha kanisa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, May 20, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  [​IMG]
  Nabii Tito yuko karibu kufungua kanisa lake ambalo waumini wote lazima wawe wanakunywa pombe maana ni tiba ya magonjwa mbalimbali ikiwemo ukimwi na hata biblia kwa mujibu wake haijakataza sema watu wanazidisha kuliko kile kiasi kilichozungumzwa. Anadai ataanzisha kanisa mapema iwezekanavyo kabla hajafa maana kuna wabaya wake kibao wanamsaka kwa udi na uvumba wammalizie mbali ...HAYA NDIO MAKANISA YA UONGO MWISHO WA DUNIA WANUKIA
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,308
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
  UNA VIGEZO GANI KUSEMA HAYA NDIO MAKANISA YA UONGO?, hATA LUTHERAN WALIPOANZA WALIONEKANA NI KANISA LA UONGO, KAMA ANAFATA BIBLIA NA ANA VIFUNGU VINGI TU VINAVYORUHUSU POMBE KAMA USHAHIDI UONGO WA KANISA LAKE UPO WAPI?, SASA NAANZA KUONA UKWELI WA KUWA HAYA MAMBO YA DINI NI JUST BRAIN WASHING TU, MTU UKISHA OSHWA AKILI NA KUAMBIWA DHEHEBU LAKO NI KANISA LA KWELI BAC KILA KANISA UTALIONA NI LA KISHETANI TU
   
Loading...