Nabii Mwingira: Uchaguzi umekaribia naamini wapiga kura wa Mbeya watafanya maamuzi sahihi, Hawatakosea

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Nabii wa kanisa la Efatha mtume Mwingira akiwa ziarani jijini Mbeya amesema uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu umekaribia hivyo anaamini Mbeya watafanya maamuzi sahihi

Katika ibada iliyohudhuriwa na RC wa Mbeya mh Chalamila pamoja na DC wake, Mwingira ameombea amani wakati wa uchaguzi.
Pia Nabii Mwingira amewataka wanasiasa kuacha kutafuta vyeo kwa njia ya kutukana wenzao au kuchongea chongea mambo ya kubuni.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa nini Mbeya....suala la uchaguzi ni utashi wa mtu....eti mtume....hovyo sana huyu
 
Nabii wa kanisa la Efatha mtume Mwingira akiwa ziarani jijini Mbeya amesema uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu umekaribia hivyo anaamini Mbeya watafanya maamuzi sahihi

Katika ibada iliyohudhuriwa na RC wa Mbeya mh Chalamila pamoja na DC wake, Mwingira ameombea amani wakati wa uchaguzi.
Pia Nabii Mwingira amewataka wanasiasa kuacha kutafuta vyeo kwa njia ya kutukana wenzao au kuchongea chongea mambo ya kubuni.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!

Zee zinzi limekula hadi wake za waumini wa kanisa lake!

Pungua mpaka limezaa na mke wa mtu!

Kesi ikafunguliwa sijui hata aliimalizaje!

Zee la kupiga bomba ya matako tu!
 
Nabii wa kanisa la Efatha mtume Mwingira akiwa ziarani jijini Mbeya amesema uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu umekaribia hivyo anaamini Mbeya watafanya maamuzi sahihi

Katika ibada iliyohudhuriwa na RC wa Mbeya mh Chalamila pamoja na DC wake, Mwingira ameombea amani wakati wa uchaguzi.
Pia Nabii Mwingira amewataka wanasiasa kuacha kutafuta vyeo kwa njia ya kutukana wenzao au kuchongea chongea mambo ya kubuni.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Mwingira huyu huyu aliyefumaniwa na mke wa Muumini wake ?
 
Taarifa zinadokeza kwamba amezaa na waumini watano tofauti

Na kesi zipo mkuu!

Magazetini zilijaa!

It is a public knowledge!

Nikikutana nae barabarani naweza mtemea mate kabisa!

Halafu ajichanganye kuvaana na mimi mkono,ningekapiga kabali kajinyee!

Halafu the fun fact is,bado baadhi ya mawananchi yalivyo majinga yanaenda kanisani bado!
 
Back
Top Bottom