thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Kwani huyu nabii anatofautiana nini na wale watetezi wa saccos ya ufipa,askofu Munga ,nk?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ina zama naiangalia sina cha kufanya moyoni naumia,dah yaan Nabii wa manabii! !!yarab nadhani wawaona waja wako wamavyojipa unabii tu duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app