Nabii Lema kukinukisha Monduli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,207
217,163
Hongera sana wananchi wa Kata ya Meserani ambapo leo mtapokea Unabii mpya kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Godbless Lema , hii ni kuanzia saa 9 alasiri , kama kawaida Chadema Kanda ya Kaskazini itakuwa live .

Karibuni sana .

Mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Mdogo wa Marudio ya Ubunge Jimbo la Monduli utafa.jpg
 
Unaambiwa hali ya ccm ni tete kiasi kwamba inafikiriwa labda apelekwe Mwenyekiti wa Taifa kuokoa jahazi , lakini je anao ushawishi ?
 
Hadi mvuta bhange nae ni nabii, haha Ufipa sijui mwenyekiti wenu aliwalisha kitu gani
 
Back
Top Bottom