Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.

Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.

Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
hawa ndio wanaofanya ulokole uonekene utapeli.
 
View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.

Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.

Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
Dunia langilengile kila mtu ana yake, huo mkanda alipewa na nani huko kuzimu?

Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
 
Prophet Odumeje Flaunts Championship Belt As He Claims To Have Defeated Satan In An International Spiritual Wrestling Match

Nigerian controversial Pastor Odumeje Indaboski Bahose said he won a belt in International Spiritual Wrestling Championship after defeating Satan in a closed door match.

Pastor Odumeje went for the said wrestling match in hell fire alone and emerged victoriously and according to him, the said match had no referee or spectators, just Satan and Pastor Odumeje.

In a video that has surfaced on the internet, Prophet Odemeje is seen holding and displaying the said belt he claimed to have won following his match with Satan with no witnesses.

His claim has stirred funny reactions on social media. Whilst others bemoaned the level of attention Nigerians give to the preacher, others attributed it to a mental disorder which they described as psychosis.

Watch the video below;
 
Nabii wa kanisani kwetu akiwa ibadani miezi kadhaa iliyopita.

Beesmom karibu kanisani kwetu uje kupokea upako.
XgAEiV7Kjc.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom