Nabii Frola bado unaendelea kuwatapeli watu? Sitasahau 1-Aug-2014 ulivyotaka kunitapeli mchana kweupe

Aysee ndo huyu? Dooh huwezi kupata full body picture nimthaminishe Dada nabii?
Nabii Flora 2.jpg

Ebo! Si ndiyo miujiza ya kumtambulisha ni ''nabii''?
 
hapo wewe ndio mpumbavu.
kiufupi watu wanapona matatizo yao.. wewe unawaita wapumbavu ila siku yakikikuta japo sikuombei mabaya .ila siku ukipigwa na gonjwa lisiloeleweka na hsopitali zote zikakushindwa hutokuwa na tegemeo lingine zaidi ya hayo maji unayoyaita ya kipumbavu. na kwa taaarifa yako mimi kwa macho yangu kuna ndugu yangu alipona kabisa. sijahadithiwa.. so jifunze kunyamaza
Sawa ndugu, wacha niwe na Akiba ya maneno
 
Hahahaaa yaani nilibaki kinywa wazi siku nilipo muuliza kijana ambae Ni mtoto wa mmoja wa hao MANABII "HIVI ILE LUGHA MNAYO ONGEA MKIPANDISHA MORI HUWA NI KWELI MNAKUA HAMJITAMBUI? na JE NI KWELI NI LUGHA YA MBINGUNI? hahahaaa jibu nililopata liliniacha mdomo wazi nalo Ni" ULE WOTE NI USANII ILI KULAMBA MPUNGA WA WAJINGA" Amaendelea kusema " WEWE NI RAFIKI YANGU NAKWAMBIA KWELI TOKA MOYONI HAKUNA CHA JUMBA LA KIROHO,WALA WATU WAROHONI HAPA KILA MMOJA HUJA KUFICHA MADHAMBI YAKE HUMU MIMI NI MLEVI,BABA NI MLEVI NA MAMA ANAJUA LAKINI J'PILI NI MTAKATIFU KWA AJILI YA KULAMBA UCHACHE WA KONDOO ANAO WAFUGA,......" Kiukweli imani hii Ni usaniii mtupu na ndio maana utakuta washiriki wa hayo awali walikuwa majambazi,makahaba,walevi,na kila rabsha ovu unayo ijua hivyo hilo Ni Kama koti TU KUFICHA yao

duh tudokeze kanisa gani ilo ila haya makanisa yana balaa sana
 
Mungu akubariki.

Ila kiuhalisia kuna wasanii kuna manabii wengi sana wanawapanga wale watoa shuhuda ila kuna wengine wana nguvu kweli.
Nimekuelewa sana kaka Mkubwa. Shukran kwa shule hii. Narudia tena, maneno yangu nimeyahifadhi, siyatupi yote
 
Tafuteni namana ya kumsaidia, japo naweza kukiri ni almost impossible! Huyo ni mganga wa kienyeji per se! Atampotozea muda wake na hapo alipo ameshamshika mateka. Ni bora hata mwenye imani kuwa ku-bet kutamtoa siku moja kuliko huyo.
Hashauriki ukijaribu unaambiwa pepo toka ukizingati Mimi ni muislamu yeye baba yake alikuwa mkatoliki ndio kabisa......... Tunasubiri tuone mwisho wa picha utakuwaje ndio kilichobakia.
 
Tafuteni namana ya kumsaidia, japo naweza kukiri ni almost impossible! Huyo ni mganga wa kienyeji per se! Atampotozea muda wake na hapo alipo ameshamshika mateka. Ni bora hata mwenye imani kuwa ku-bet kutamtoa siku moja kuliko huyo.
Hashauriki ukijaribu unaambiwa pepo toka ukizingati Mimi ni muislamu yeye baba yake alikuwa mkatoliki ndio kabisa......... Tunasubiri tuone mwisho wa picha utakuwaje ndio kilichobakia.
 
hata waislam nao kuna watu wanajiita masharifu hawana tofauti na hawa manabii uchwara kazi yao kupiga hela za waislam wenye matatizo na wanaopenda maisha ya mkato.
Hao ni waganga wa kienyeji na washirikina. Hatawaendaji wanatambua na kazi zao hawafanyii msikitini!! Wanafanyia kwenye vilinge vyao huko!!
 
Acha basi kujichanganya umesema alienda lunch nusu saa hamna lunch ya saa kumi au kumi na moja mara akaja akaanza toa ushuhuda usiku umeingiaje hapo. Anyway wewe na yeye wote feki tu
Jf ukitaka kutunga uongo ujipange kwelikweli
 
Ni upumbav mkubwa ....

Sure et naye gwajima au lusekelo anaanda watu waende mbingun

Dah sad , wanakuja
Gwajima anaefuga misukule na kuitoa madhabahuni kwake ! Wajinga ndio waliwao . Misukule yake ndio inayompelekea mapesa akichanganya na sadaka ananunua mpaka chopa . Ukitaka kuwajua hao watu angalia waumini wao matendo yao hata mpagani ana hekima kuwazidi. Kuna mchungaji mmoja wa gwajima anaekaa madhabahu kuu tulikuwa wote kanisa moja zamani na tulikuwa ndugu wa kiroho haswa baada ya miaka 10+ namkuta yupo pale kwa gwajima nikamtafuta nimsalimie nikampata lakini kwakuwa namfahamu hakutaka hata kupokea simu zangu tena nikaelewa kuna uongo nyuma ya pazia maana wale wote madhabahuni ni kama misukule ya gwajima kiakili pia.
 
Back
Top Bottom