Naanzaje?

Mbona Easy Tu mzee baba


Cha kufanya Fungua Dirisha la basi mpaka mwishoo Upepo uingie mkalii hapo lazima Atasema "samahan kaka naomb funga dirisha kidogo"



HAPO UNAANZA NAE

Twp Thanks me late
 
Kama bdo anaridhka na upepo


Jichekeshe afu muoneshe hii Comm3nt




ULIWAI KUCHEZA BIKO?
 
Hahahaa waweza anza kwa kumwambia ivi " unaonekana wee ni mwenyeji wa dar eeh?"

Anza na vimaneno visivyokera ,vitakavyomfanya acheke !.
 
Usisahau katikati hapo lolote linaweza kutokea maana na barabara zetu hizi lami ina migongo migongo utasema upo kwenye mahandaki ya kivita Syria.
 
Kila la heri kuna wadada kama wachawi wanajibu vizuri story kibao mwisho wa siku namba hatoi.
 
Hahahaaa wanaume mna kazi kweli kweli, ndo maana wengine wanatokaga majasho mengi hata kama ni baridi, mmoja alishuka kituo sio chake akanambia nimeshuka kwa ajili yako, nilicheka sana halafu tulikuwa na baba angu
 
Muombeee apate mume mwema na afike salama! Wewe si mwanaume lijali
Inawezekana huyo mtoto si mzuri sana kwani hayo mambo ni automatic kama anyonyavyo baada ya kuzaliwa tu bila tuition
 
Watext marafiki zako watatu wawe wanakupigia kila mara kisha jifanye kuwapa maelekezo kama vile wewe ndio boss wao,

Mfano
Eee hallow mwambie secretary akupe funguo za gari ufuate mzigo kariakoo,

Simu ya pili ... hellow john simamia vizuri hao mafundi nitakuja kukagua hilo jengo siku ya jumatatu,

Nunua gazeti la mwananchi jifanye uko busy .. then baadae baadae, msemeshe chochote then omba namba akikupa mtandike elfu ,30 ya vocha.
Sijawahi fanya ujinga uo hahahahahah elfu 30 kah
 
Niko Ndani ya basi from Moro to Dar...pembeni Mtoto mkaaali...shida naanzaje? Wadau nipeni procedures!
Msalimie mambo vip akijibu tulia kama dk 15 hv Kama umekaa dirishani wewe jifanye uko busy kuangalia mazingira then waweza geuka ukamshtukiza kwa swali hv TMA walisema leo kutakuwa na jua kali sana na wanashauri watu wanywe maji mengi. Unamuita muuza maji unanunua kilimajaro mbili kubwa unamwambia karibu. (Cha kwanza ataona unajali af atajichekesha uongo na kweli) iyo gia namba moja vingine malizia nilikuwa nakupa Ignation tu kaka


Kama ww umekaa upande huu mwingine unaweza ukaact unataka kutapika hahahahha unamkanyaga bahati mbaya then utatoa handckachief unamfuta unamwambia sory ,
 
1 Habari yako
2 Hii ndio mara yako ya kwanza Dar?
3 Utafika wapi ningependelea tuonane tukifika dar
4 Sio vibaya ukanipatia namba yako tukajuana zaidi
5 Dar kuna watoto wazuri lakini Moro kuna malaika
6 Nimeoteshwa leo nikisafiri nitakaa karibu na waridi na nitapata kunukia. Ndoto yangu imetabirika
7 Usione natetemeka mwanamme wa mikoani kutongoza sijui. hahaha
Shkamoo jf.....!!
 
Back
Top Bottom