Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Unataka kuniambia kitambulisho cha kuntambulisha mtu kuwa ni raia hakiaminiki? Kama wanaotoa kitambulisho cha urai si wataalamu wa mambo ya urai, nani wataalamu?
Kuwa nacho sio kigezo cha kuwa raia.Wengi sio raia na wanavyo utasemaje ni usahihi wa uraia sasa
 
Hakikisha umejaza kwanza ile form yao ya online,umeilipia ile Tshs 20,000 kwanza,then attach picha kwenye ile form,then submit! Jinsi unavyojibu maswali yao kwenye ile online form yao,ndiyo unavyotengeneza maswali! Nenda kwa mwanasheria akuandalie affidavit kama wazazi hawapo hai,kama wapo hai andaa vyetu vyao vya kuzalia vya kwao,hapa hua Cheti cha kuzaliwa cha Baba

1. Unapoenda uhamiaji! Make sure una documents hizi!
a) Barua ya kutoka serikali za mitaa au kutoka ulikoajiriwa.
b) NIDA
c) Cheti chako chakuzaliwa
d) Affidavit au Cheti cha kuzaliwa cha Mshua
e) Tshs 130,000/= Cash uwe nazo mkononi,watakuambia ulipe pale kwao wana Bank ya NMB! Hii yakulipia kwao nazungumzia kama upo Dsm,kwa mkoani sijui
Asante sana mkuu kwa info. Hii pia ni hata kama una passport ya zamani unataka badilisha?
 
Unafikiri ni nani wanaweza sana kazi ya kutambua uraia wa mtu zaidi ya NIDA wanatoa vitambulisho vya uraia?
Wengi wanadhani ukizaliwa tu Tanzania tayari ni Mtanzania.Kama baba yako au babu yako hakuwahi kuukana uraia wa alipotoka hata ukizaliwa tza wwe sio Mtanzania sasa NIDA wanajua haya.Kupeleka barua ya mtendaji, vyeti vya kuzaliwa sio kigezo cha uthibisho wewe ni uraia.Kuna wenye fani za kujua thus Passport haitolewi tu kama kitambulisho tu
 
Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samia.
giphy (2).gif
 
A
Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua.

Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa itapatikana kwa sh Elfu 50,000 Tu.

Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samia.

Vijana kazi kwenu.

Naanza kuona vijana mkienda South Africa.
Aiseee siamini
 
Immigration department
Hawa huko nyuma si watu kibao walikuwa wanajipatia passport zetu na kufanyia mambi ya ajabu? Mi nafikiri NIDA kazi yao wameifanya kwa ufasaha kabisa. Ni ngumu kughushi taarifa zote zile. Naona NIDA wamefanya kwa weledi kuliko hata hao uhamiaji walivyokuwa wanafanya. Na pia kama kazi yao haiaminiki basi haifai kitu.

Uhamiaji wachukue database ya NIDA na waitumie, kinyume na hapo ni urasimu usio na maana na tubeef twa departments.
 
Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua.

Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa itapatikana kwa sh Elfu 50,000 Tu.

Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samia.

Vijana kazi kwenu.

Naanza kuona vijana mkienda South Africa.

Nakazia: "Bwana yule alikuwa mshamba sana!"
 
Back
Top Bottom