Naanza kukubaliana na wazo la Mange kuwa huenda watu wameanza kukusanya hela za kampeni | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naanza kukubaliana na wazo la Mange kuwa huenda watu wameanza kukusanya hela za kampeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, May 19, 2017 at 11:15 AM.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017 at 11:15 AM
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 20,690
  Likes Received: 22,871
  Trophy Points: 280
  Siku chache zilipopita(kama wiki hivi) dada yetu huyu alitumiwa na mtu fulani taarifa fulani(sitaitaja hapa) katika account yake ya Instagram na katika kumjibu yule aliemtumia hiyo taarifa,Mange akamjibu kuwa hawa jamaa wameanza kukusanya hela kwa ajili ya kampeni za mwaka wa 2020.

  Mwanzoni sikutilia manani sana maneni haya ila kwa trend hii sasa naanza kushawishika kuamini mawazo ya huyu dada.
   
 2. m

  mechard Rwizile JF-Expert Member

  #21
  May 19, 2017 at 3:08 PM
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 687
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 60
  Katika aya hii uliyoiandika yapo mambo makubwa na ya msingi, kukemea viongozi wanapofanya mambo ya kitoto ni jambo la kiungwana kabisa na tunafanya hivyo kila inajitokeza. Kwa mfano jambo la kutokuwa na ofisi bora ni moja kati ya mambo hayo lakini ofisi bora ni ulimbwede tu wa mshoni kama ndani ya ofisi hizo zinafanyika njama za kudumiza demokrasi changa katika nchi changa, ubora wa ofisi hakika hauna maana yeyote. Mbona kila upande unao viongozi wanao kosea? Ni mara ngapi mmeyaona makosa ya viongozi wenu? Mmekosoa mangapi ili uwe mfano kwetu? Au ni ule usemi wa "nyani kutoona kisogo chake"?
   
 3. j

  jingojames JF-Expert Member

  #22
  May 19, 2017 at 3:30 PM
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 772
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  Okay basi kama anauwezo wa kuzuia aliyetaka kuingia basi anauwezo pia wa kumtoa aliyepo,lazima atakuwa ni mwenye nguvu nyingi kama Delila wa Samson!
   
 4. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #23
  May 20, 2017 at 2:16 AM
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 3,790
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  Majungu hayajengi
   
 5. TL. Marandu

  TL. Marandu JF-Expert Member

  #24
  May 20, 2017 at 3:08 AM
  Joined: Jul 12, 2015
  Messages: 1,757
  Likes Received: 2,238
  Trophy Points: 280
  Mpaka za Misiba si laana hiyo?
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #25
  May 20, 2017 at 4:15 AM
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 20,690
  Likes Received: 22,871
  Trophy Points: 280
  Mbona tume huru hamtaki?Mmezoe kubebwa!
   
 7. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #26
  May 20, 2017 at 4:16 AM
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 20,690
  Likes Received: 22,871
  Trophy Points: 280
  Hawa watu ni aibu ya Taifa.
   
 8. Klaas

  Klaas Senior Member

  #27
  May 20, 2017 at 6:50 AM
  Joined: Sep 22, 2016
  Messages: 176
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Tupe mawazo yako wewe kama wewe. Usiwe mshabiki wa mawazo ya mtu flani always, jifunze kujitanua kifikra
   
 9. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #28
  May 20, 2017 at 10:35 AM
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,839
  Trophy Points: 280
  ...
  .....kama ambavyo taifa litamkumbuka pia kwa kuwezesha Watanzania kuweka historia kwa mara ya kwanza kabisa rais kutumika kipindi kimoja tu 2015-20!

  nadhani ana "karama" fulani huyu binti...
   
 10. T

  Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member

  #29
  May 20, 2017 at 11:06 AM
  Joined: Jul 15, 2015
  Messages: 2,731
  Likes Received: 1,750
  Trophy Points: 280
  Msigwa aliwahi kusema prof wa ccm akichangia
  Bungeni hana tofauti na darasa la 7... akili wanaziweka mfukoni... subiri kdg uanze muona Kabudi na Mkumbo watakavo anza kuboa.... nchi hii ina unafiki sana... wanajua ukwel ila hawawez sema na siku tukiwa huru kuelezana ukweli hata unao uma matatizo yetu mengi yatatatuliwa....
   
 11. Mtani mtata

  Mtani mtata JF-Expert Member

  #30
  May 20, 2017 at 11:16 AM
  Joined: Nov 5, 2015
  Messages: 376
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 80

  Ndo shida yenu .... linapokuja swala la kumtetea mnaemuona anawafaa mnatumia hadi maneno ya kizungu kumsafisha .... kuna vitu vingine havitakiwi kubadilika .... kuweni na msimamo na si kuyumbishwa yumbishwa .........eti mnakuwa km kenge kukimbia manyunyu na kujificha mtoni!!!
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #31
  May 20, 2017 at 7:27 PM
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 71,418
  Likes Received: 3,704
  Trophy Points: 280
  Mifano hai tuihitaji
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #32
  May 22, 2017 at 6:35 PM
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,071
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  Ccm wana laana......kupora ushindi wa wazi kabisa wa Seif visiwani Mungu amechukia sana.....bora huku bara walipiga goli la mkono hatukuona
   
Loading...