Naanza kukubaliana na wazo la Mange kuwa huenda watu wameanza kukusanya hela za kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naanza kukubaliana na wazo la Mange kuwa huenda watu wameanza kukusanya hela za kampeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, May 19, 2017.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,167
  Likes Received: 35,008
  Trophy Points: 280
  Siku chache zilipopita(kama wiki hivi) dada yetu huyu alitumiwa na mtu fulani taarifa fulani(sitaitaja hapa) katika account yake ya Instagram na katika kumjibu yule aliemtumia hiyo taarifa,Mange akamjibu kuwa hawa jamaa wameanza kukusanya hela kwa ajili ya kampeni za mwaka wa 2020.

  Mwanzoni sikutilia manani sana maneni haya ila kwa trend hii sasa naanza kushawishika kuamini mawazo ya huyu dada.
   
 2. T

  Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2017
  Joined: Jul 15, 2015
  Messages: 2,962
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Trend ipi mkuu.... ya wizara ya viwanda kupewa 7b badala ya 40b yaani 18% wakat tunatakiwa kujenga viwanda au?
   
 3. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,167
  Likes Received: 35,008
  Trophy Points: 280
  Na sisi asa tutaendelea kumpa support kwa kila anachokifanya.

  Ni bahati mbaya tu baadhi ya taarifa ukizileta hapa JF haziwezi kuachwa.
   
 4. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2017
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 19,530
  Likes Received: 11,128
  Trophy Points: 280
  Boss wako muda wake ushapita, chochote ufanyacho hatokuwa rais tena, hicho ndo cha muhimu na wewe kutoka chini ya sakafu ya moyo wako unalijua hili.
   
 5. mpita-njia

  mpita-njia JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2017
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,179
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Jamani Serikali haina pesa. Makusanyo ya mwezi ni 1.2 trillion. Mishahara 600 Billions. Atawezaje kuendesha nchi kwa pesa iliyobakia??

  Huyu bwana mkubwa nafikiri hakujua ukubwa wa tatizo na pia hakujua siri ya kazi, ali jump kwa kukashifu waliopita kuwaona hawafai. Mwisho wa siku leo anaadhirika.

  Anaanza kuwa omba omba. Zaidi ya Bandari, kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara wadogo hakuna chanzo kingine kikubwa cha mapato ya nchi. Wazungu nao ndio hivyo wamefupisha mkono.

  Hakuna creativity ya njia mpya za mapato. Hakuna mafunzo ya kilimo cha umwagiliaji, hakuna elimu ya ufundi stadi kwa vijana wanaomaliza darasa la 7 form 4 na 6 basi japo Tanzania iwe nchi inayotoa mafundi bora Africa.

  Yaani kila kitu hakuna hakuna hakuna.
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,167
  Likes Received: 35,008
  Trophy Points: 280
  Kwani nilipoanza kutaka raisi asiwe wa CCM Lowassa alikuwa CHADEMA?
   
 7. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,167
  Likes Received: 35,008
  Trophy Points: 280
  Hawa watu ni balaa ndugu yangu.

  Julize ni kwanini hata hii michango ya rambirambi imeanza kuzua maswali?

  Unadhani ni kwanini hata Mayor wa Arusha jana walimuweka ndani?

  Ya hela za tetemeko nayo bado tunayakumbuka.
   
 8. nori

  nori Senior Member

  #8
  May 19, 2017
  Joined: Apr 8, 2014
  Messages: 117
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Watu wengine wanajifanya kumponda Mange hapa lakini kwenye page yake kule insta hawakosekani, acheni unafiki, asilimia kubwa ya vitu anavyo post ni vya ukweli na anatumiwa na hao hao walioko huko serikalini na amefanikiwa kutufungua macho watu wengi tuliokuwa hatujui kinachoendelea kwenye huu utawala.
   
 9. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,167
  Likes Received: 35,008
  Trophy Points: 280
  Hawa ni wanafiki sana.

  Hata taarifa za umiliki wa magari yote ya Bashite alitumiwa na watu wa system na mpaka picha za magari ya watumiwa wa madawa ya kulevya zikiwa nyumbani kwa Bashite alizi-post na hawakuwahi kukanusha.

  Hata TRA hawakuwahi kuzikana zile document za umiliki wa magari ya Bashite.
   
 10. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,167
  Likes Received: 35,008
  Trophy Points: 280
  Hata mawaziri wanapita huko kwenye page yake.
   
 11. T

  Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2017
  Joined: Jul 15, 2015
  Messages: 2,962
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Mkuu weka mafuta ya magari, OC, dharula, madeni ya ndani na nje..... hamna kitu....
   
 12. mpita-njia

  mpita-njia JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2017
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,179
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa nini mimi na wewe tunaliona hilo ila wao hawalioni.

  Kinachuoma zaidi Karibia mawaziri, manaibu na makatibu wakuu ni maprofesa na ma doctor. Kwa elimu zao zilizotukuka hawaoni haya??
   
 13. mpita-njia

  mpita-njia JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2017
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,179
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Unaweza kukuta Mkoa ulikuwa hauna pesa za mishahara.
   
 14. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2017
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 14,685
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Kama izo docs anazowaaminisha ni kweli, kwann nyia washabiki wake hamzitumii kuwaburuza watuhumiwa mahakamani?
   
 15. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2017
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 6,951
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Unazungunzia michango ya maafa na rambi rambi?
   
 16. Mtani mtata

  Mtani mtata JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2017
  Joined: Nov 5, 2015
  Messages: 475
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 80
  Umeongea kwa hekima sana mkuu hongera kwa hilo! ...hili la msiba limekuwaje tn! zile rambi rambi au lema kukataliwa kuongea msibani!!
   
 17. Mtani mtata

  Mtani mtata JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2017
  Joined: Nov 5, 2015
  Messages: 475
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 80
  Mnachonifurahishaga in vile mnajua kuvutia upande wenu!!!
   
 18. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,167
  Likes Received: 35,008
  Trophy Points: 280
  Una akili sana mkuu.

  Wengi hawaelewi kinachoendelea.
   
 19. m

  mechard Rwizile JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2017
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 80
  Niliimanisha jambo dogo, nilihisi kauli yako ililenga na ulionyesha kuwashangaa wanachadema na ukawa kwa ujumla wetu, tulivyokuwa tunamchukulia Mange wakati ule wa uchaguzi na tunavyomchukulia leo. Sisi tunabadilika kwa kuangalia ukweli na nyinyi hambadiliki kwa kuendelea kukandamiza hata masuala ambayo hayahitaji kukandamiza kwa sababu misimamo isiyobadlika. Kwamba adui ni adui hadi mwisho wa maisha. Naweza nikawa ni mekosea tena.
   
 20. Mtani mtata

  Mtani mtata JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2017
  Joined: Nov 5, 2015
  Messages: 475
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 80
  Shida yenu mnahitaji kila mtu awe upande wenu inapotokea anawapinga anakuwa mgomvi wenu ila huyo huyo akisapoti anakuwa mwema kwenu na ndo maana kwenu mafanikio inakuwa ni hadithi manyoishia kuisoma tu kwenye magazeti ...... labda tu niwakumbushe kumbukeni hii serikali iliyopo si ya cdm na wala haitokuja kufanya kitu ambacho eti wawafurahishe cdm, in reference kwa hill la gambo na meya wa arusha kwa sasa hebu muwe mnajarib basi ht kukemea viongozi wenu pale wanapofanya vitu vya kitoto
   
Loading...