Naanza kuiona Tanzania iliyobadilika. Watanzania hawasikilizi propaganda za uongo za Wapinzani

Mpaka ifikapo mwaka 2024 naamini makada wengi wenye kuusaka uraisi na wala hawatakuwa kuwa waoga kuanza kujenga timu za uungaji mkono za chini kwa chini. Naiona nyota ya kijana January Makamba ikimetameta.

Ijapokuwa kutakuwa na jaribio la zongo la hatari kubwa sana dhidi yake kutoka kundi la CCM Mpya, zongo hilo haliwezi kufurukuta, kwa kuwa wana CCM Asili na wakiungana na Wana Mitandao wa Kikwete watakuwa wamejipanga vyema hasa.

Hapo itampasa kiongozi anayemaliza muda wake kuwa mpole na wapambe waanze tu kuachia mema ya nchi kuwa chini ya timu nyingine ya ushindi. What comes around goes around. That will be the complete end of Chato' modus of operandi.
 
Mlituaminisha kuwa wapinzani wanachelewesha maendeleo, kwenye uchaguzi mkapindua meza mkajipa ushindi majimbo na kata zote. Ajabu miezi mitatu imepita bado mnawaota wapinzani. Tunataka maendeleo hatutaki porojo
Kwani vyama vya upinzani vimefutwa kwenye rejesta ya msajili?
 
Ati raisi MAGUFULI aliwauzia nyumba za umma hawala zake kina KABULA yule wa kebys Nate leo anajiita mzalendo?
Ati MAGUFULI alinunua magorofa mawili ya NIC huko dodoma kwa ml 6 kila moja na kwa mkopo lakini hayaonekani popote kwenye Mali zake?
Yani alimuuzia hawara yake?

Kama mauziano yakifuata taratibu shida iko wapi?

Au wewe una muonea wivu huho hawara?
 
Kwani vyama vya upinzani vimefutwa kwenye rejesta ya msajili?
vinawanyimaje kuleta maendeleo wakati havina wabunge wala madiwani wa kuwapinga mlituambia tusichanganye magunzi na betri kwenye torch na kweli hatukuchanganya, mbona sasa torch inawakia sehemu moja tu ya chattle wakati sehemu zingine kuko na giza? hata mikutano hamuwaruhusu kufanya.
 
Wewe ndiye "Mouth piece" ya Watz wote??--- nani kakutuma??.

Andika na identity yako labda utakumbukwa na hao wakubwa na utapewa japo ujumbe wa nyumba kumi.
Mkuu huyo dogo ni kutoka Burundi analazimisha kutambulika
 
Mods nyie hamnko serious , you are full of double standards mnaachaje mafala kama huyu aliyeanzisga thread ya kuduwanzi kama hii kuendelea kuwa humu , huu ni ufala , mtabaki na vilaza wenzenu kama hawa , https://jamii.app/JFUserGuide .I'm disgusted and I'm out of here permanently .
Nonesense
 
Mods nyie hamnko serious , you are full of double standards mnaachaje mafala kama huyu aliyeanzisga thread ya kuduwanzi kama hii kuendelea kuwa humu , huu ni ufala , mtabaki na vilaza wenzenu kama hawa , **** .I'm disgusted and I'm out of here permanently .
Nonesense
Meseji is delivered.
 
Sounds like limeingia kunako🖕
 
Mods nyie hamnko serious , you are full of double standards mnaachaje mafala kama huyu aliyeanzisga thread ya kuduwanzi kama hii kuendelea kuwa humu , huu ni ufala , mtabaki na vilaza wenzenu kama hawa , **** .I'm disgusted and I'm out of here permanently .
Nonesense
We fala umejisajili juzi na kuanza mbwembwe za za matusi?
 
Wangapi wanakosoa na wanaishi na wewe unawajua, nyumbu zitabaki kuwa nyumbu walahi
Hebu wataje hapa acha bla blah..
Lissu lema chahali na wengine wamekimbia nini!?
Hawa walioko humu sio wakosoaji na wala sio wapinzani, ni unafiki tu
Akina zitto maalim lipumba mbatia wote hao kwa sasa eidha wameungana na watesi wao kimya kimya au wamefungwa kisiasa

Nakwambia hivii tumia akili ya kuvukia barabara tu utaona kua hakuna!
 
Back
Top Bottom