Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,630
Hahahaa hayaa Bosco Saronga
Eeka mbee.... mona Iruwa!!!!
Hahahaa hayaa Bosco Saronga
Huku kwetu matombo morogoro hilo jina lako ungepata shida sana. Maana kila mtu angejiita Mushi
sidhani kama unatoka kilimankyaro au kilimanjaro???? kama unatokea kilimanjaro unapajua mkuu rombo
Mkuu kuna tatizo kwani? Au jina limekupa kiwewe?Kama ni mwanaume. Amia tu us. Wameruhusu watu kama wewe. Kufanya watakalo. Kizazi cha sasa kimeharibika sana
Hapana, wewe ndo mwenyekiti wa kamati?Umeshawasiliana na kamati ya michango kwa ajili ya malipo ya post ktk hili jukwaa hasa kwa mgeni kama ww??
Hiyo ni salam za wamachame toka wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro
Mimi ni mgeni humu na nimekuwa nikipendezwa sana na mada nnazozisoma humu kabla sijajiunga. Hivo na mimi nimeamua kujiunga humu coz ni sehemu ambayo naweza kupata ushauri wenye maana.
Congratulations to me, Now in the house.
#naantombemushi.eeeka#
Hiyo ni salam za wamachame toka wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro
Mbona sijawahi kusikia mbowe akitamka hilo tusi?
gitereva kinuuuuuuuu