Naantombe Mushi is in the house

Huku kwetu matombo morogoro hilo jina lako ungepata shida sana. Maana kila mtu angejiita Mushi
 
Umeshawasiliana na kamati ya michango kwa ajili ya malipo ya post ktk hili jukwaa hasa kwa mgeni kama ww??
 
Kama ni mwanaume. Amia tu us. Wameruhusu watu kama wewe. Kufanya watakalo. Kizazi cha sasa kimeharibika sana
 
Mimi ni mgeni humu na nimekuwa nikipendezwa sana na mada nnazozisoma humu kabla sijajiunga. Hivo na mimi nimeamua kujiunga humu coz ni sehemu ambayo naweza kupata ushauri wenye maana.


Congratulations to me, Now in the house.

#naantombemushi.eeeka#

Asiwazingue ...

Anto kwa kimachame = Amshwa

Mbe = Mwanaume. Kwa kingereza ingekuwa = "He". kwa mwanamke = Mae = "SHE"

Kama salam ya asubuhi. ikimaanisha Umeamshwaje .. au Umeamkaje

Umeamshwaje mtu wa Kiume = Neantombe.

Umeamshaje mtu wa Kike = Neantomae.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom