Naangamia naombeni msaada kukwepa hii laana

Kwanza tambua Mapenzi ni ugonjwa wa akili.
Pili ni vigumu sana kumuamsha mtu aliyejifanya amelala
Mkuu hio sauti unayosema unaisikia ndio ushirikina wenyewe huo,,wala hata sio sauti ya Mungu..

DNA imekukataa, Wife kakuambia ukweli kabonyezwa... Yote hayo umekataa kukubali na bado unahisi una nguvu ya Mungu ndani yako.

Acha kujilisha upepo achana na hio kenge,,,utakuja kulia sana mbele ya safari..

Hio amani unayosema unayo ndio ushirikina wenyewe,, Mwanaume huwezi gongewa halafu ujifanye una amani...
 
Kwamba wewe uliongeza masikio kwenye hio mimba ya mtu mwingine? mkuu hio mimba/mtoto sio yako tukuambie tu,endelea na maisha yako, kama unasali omba Mungu Akupe mke mwingine mwema, hao madaktari watakua waliona huelewi somo, wakaamua wakuambie jibu unalolipenda,la vinasaba vinne,
Huyu jamaa anazugia tu kwa huyo mtoto ila lengo lake hasa ni moyo wake unaungua kumkosa huyo demu wake, hapa analeta ngonjera nyingi za imani ili tumsupport tusimuone mpumbavu.
Angekua kweli ni mtu wa hiyo imani anayotuhubiria hapa wala asingezini.
 
Tatizo unafanya maombi yako huku umeisha tengeneza majibu yako ya kibinadamu akilini mwako tayari. Ndio maana unajihisi kuchanganyikiwa pale majibu yanapokuwa tofauti na unavyo taka.
 
Mkuu mi nakushauri acha kulia mbele za Mungu kwa ajili ya hilo,badala yake mshukuru sana Mungu kwa ajili ya hilo na muombe akuepushe na hatari kama hizo na akupe moyo wa subira..na wakati unasubir atakufunilia aliekuandalia kwa sababu moyo wako utakua wazi tofauti na sasa ambapo umeufunga moyo
 
Kifupi tu ni kuwa MAFAILI YAMECHANGANYIKANA NA KUJIMIX MNO HUKO KWA MEDULA YAKO.

1. Kuujenga uhusiano kwenye imani sana, na kwa kufunga na maombi, huku upande wa pili mnatafuta mtoto kabla ya ndoa ni dalili za kuchanganyikiwa

2. Kudhania kuwa mchumba alilaghaiwa kwa ushirikina akienda kutoa mbususu mpaka akapata ujauzito, na huku nyie ni watu wa kufunga na kuomba ni dalili za kuchanganyikiwa.

3. Kama maombi na mifungo imekupelekea kuwa na amani kama baba mlezi wa mtoto uliyebambikiwa, then why uombe ushauri? Uishi nao, usiwatelekeze, ila jua wife anajua kabisa kuwa kabahatika kupata Mento
neno la mwisho limenichekesha! Kwamba? Kabahatisha kupata mento?
 
MKUU USITUCHANGANYE, UMESEMA KUNA MHUNI ALIPEWA HIYO MIMBA THEN KUNA MUDA MKAWA MNAISHI WOTE UKAONA AMANI IMETAWALA KAMA KAWA. SO HUYO JAMAA ALIYEPEWA MIMBA INAONEKANA NAE KATELEKEZA SIO!?
 
Kama mwanamkee ameweza Tiwa nje wakati ana mimba yako jua Hakuna mwanamme mwenye vijisenti atashindwa kumla wakati hana Mimba..!! Sio utafute hela hapana UNAISHI NA MWANAMKE ASIEJITAMBUA ALAFU HAKUNAGA LAANA YA MWANAMKE ULIEZAA NAE ACHA UFALA.
 
Mapenzi Upofu Siku Yakitoka Utaanza Kuwaza Kwa Akili Timamu.

Mpe mtoto matunzo asilimia 100 kama baba ila hayo mambo ya ku-assume hakijatokea kitu yatakugharimu huko mbele.
 
Acha ujinga ndugu...siku hizi madem hua hawajui baba wa mtoto ni nani....!!kesi kama zako tunaziona saana street...!!wew unataka kulea ila tambua utaonekana fala wa mwisho....kaa kimya...fanya mambo yako....ukweli utajiweka wazi wenyew...!!Ndo nilichofanyaga mimi
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom