"Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

Dah i see umenikumbusha mbali wkt naanza maisha nimelala jamaa wakati anamwandaa demu wake si demu akarusha chu*pi juu ikadondokea kwangu chumba kilikuwa hakina ceiling board mi nikajua bomu ndo usingizi ulikuwa unaanza kukolea nilishtuka na kupiga yowe kucheck dah chu*pi imetoka chumba cha mbili

hahahaha siku nyingine ungerushiwa watoto mdomoni mkuu
 
hilo janajike ni vivu na halijui wajibu wake na hilo janaume ni zembe mzigoni. Mimi kuna siku waifu alifiliwa na dadaake katika kumchombeza chombeza mzuka ukapanda, hafla msiba tukausahau tukaanza kuvutana manywele kiutu uzima, nikafanya manjonjo na waifu mwenyewe alionesha ushirikiano na furaha ya kutosha wakati wa mchezo. Baada ya game tukajifanya kulia kinafiki na kujutia kumbe wizi mtupu.
Nimemaliza

kwi kwi kwi kwi aisee leo mbavu zinakatika
 
Ndoa isio na mawasiliano itayumba tu! Ilo tatizo ilibidi aongee na mumewe sio kumsimulia rafiki yake. Ni kujidhalilisha.
 
mwanamke ukiolewa unatakiwa ulale bila chu*pi rungu likisimama unageuzwa tu shaa lipo ndani utajiandaaga humo humo likiwa ndani
wewe lazima umelelewa vibaya, au umepinda akili, tafadhali tafsida ichukue mkondo wake, te te te ....
 
dah i see umenikumbusha mbali wkt naanza maisha nimelala jamaa wakati anamwandaa demu wake si demu akarusha chu*pi juu ikadondokea kwangu chumba kilikuwa hakina ceiling board mi nikajua bomu ndo usingizi ulikuwa unaanza kukolea nilishtuka na kupiga yowe kucheck dah chu*pi imetoka chumba cha mbili
dah wewe umepinda pia umenikumbusha lady madona alipokuwa akifanya show yake, gafla aliivua chu**pi yake na kuirusha kwa mashabiki wake basi midume ilokuwepo ktk show iyo nusu ing'onane meno ikiigombania chu***pi ya madona, natmai na nina amini iyo chu***pi umehiifadhi mpaka leo kama kumbukumbu ukijifili to duh unaitoa na kuibusu au....
 
teh teh teh teh ucku saa ngapi coz hata saa 2 ni uck teh teh teh teh teh teh

Hizo alizosema yeye, saa 9. Hivi nipo kwenye keyboard, nikitoka hapa nakwenda kunanihii, kwani kuna kuamsha? mie naanza kwa alamba, alamba alamba, alamba. Mpaka akiamka ujuwe hapo nikuulilia tu.

Huyo jamaa yake anamwamsha kwa kumkurupusha kuna namna zake.
 
Mi sioni tatizo, hicho ndicho kilichomfanya awepo hapo.
Kama kulala , alishalalaga kwao vya kutosha.
Hapo ni kazi na dawa ! Mzigo wkt wowote unamangwa bwnaa !
Sa nikamange wapi ? Alaaa ! Haipogo hiyo.
 
hilo janajike ni vivu na halijui wajibu wake na hilo janaume ni zembe mzigoni. Mimi kuna siku waifu alifiliwa na dadaake katika kumchombeza chombeza mzuka ukapanda, hafla msiba tukausahau tukaanza kuvutana manywele kiutu uzima, nikafanya manjonjo na waifu mwenyewe alionesha ushirikiano na furaha ya kutosha wakati wa mchezo. Baada ya game tukajifanya kulia kinafiki na kujutia kumbe wizi mtupu.
Nimemaliza

ankoli kloro we ni mkare....
 
Mi sioni tatizo, hicho ndicho kilichomfanya awepo hapo.
Kama kulala , alishalalaga kwao vya kutosha.
Hapo ni kazi na dawa ! Mzigo wkt wowote unamangwa bwnaa !
Sa nikamange wapi ? Alaaa ! Haipogo hiyo.

Heh judgement umeni disappoint hapo!
 
hilo janajike ni vivu na halijui wajibu wake na hilo janaume ni zembe mzigoni. Mimi kuna siku waifu alifiliwa na dadaake katika kumchombeza chombeza mzuka ukapanda, hafla msiba tukausahau tukaanza kuvutana manywele kiutu uzima, nikafanya manjonjo na waifu mwenyewe alionesha ushirikiano na furaha ya kutosha wakati wa mchezo. Baada ya game tukajifanya kulia kinafiki na kujutia kumbe wizi mtupu.
Nimemaliza

Hahahaaa haya bana!
 
wanawake watu wa ajabu sana! kila wasichokipenda ktk mapenzi tafsiri yao ni ubakaji tu!
 
Mi sioni tatizo, hicho ndicho kilichomfanya awepo hapo.
Kama kulala , alishalalaga kwao vya kutosha.
Hapo ni kazi na dawa ! Mzigo wkt wowote unamangwa bwnaa !
Sa nikamange wapi ? Alaaa ! Haipogo hiyo.

Sawa, pampja na hayo, lakini mapenzi si ushirikiano?
Unamfanya mwenzako kama prostitute?:A S embarassed:
 
Ndoa isio na mawasiliano itayumba tu! Ilo tatizo ilibidi aongee na mumewe sio kumsimulia rafiki yake. Ni kujidhalilisha.

Yes ni kweli, nadhani mumeo ukimweka chini na kuongea naye kwa busara atakuelewa....
saa 9 kinyume, hasa ukizngatia kwamba unatakiwa kuwahi kuamka ukachote machi mtaani, kuwaaanda watoto, lazime uchemshe mchana. Ina maana njemba inataka kukubadilishia ratiba
 
Nyie watu mapenzi yanafanywa muda wowote

Sawa sawa, na mahali popote, wakati mwingine kama mpo wenyewe nyumbani basi sebuleni, jikoni, garden, bafuni etc ili mradi sehemu mbalimbali zinasaidia kuongeza mahaba, tatizo lililopo kwa huyo mdada inaelekea hafikishwi ndio maana analalamika-angelikuwa anafikishwa wala asingetia neno; tena siku hajaamshwa angeanza kununa!
 
issues za kutimiza wajibu wa mke na mme ndani ya ndoa zinafaa kuachwa kwa wanandoa wenyewe... kuingiza connotations za ubakaji ndani ya ndoa nadhani ni kwenda too far

Point, hapa sisi ndo tunabaka inteno afeaz za ndoa za watu...!!
 
Back
Top Bottom